Mimi nafahamu kwenye blog,lakini hapa JF inanigomea
naomba mwenye kujua maujanja atufahamishe
pengine zinawekwa picha hapa ndogo sana,wenzetu wanajitokeza na kuzikuza,maujanja haya tujuslishe basi
Greetings!
Kindly advice step by step how can I create and configure an e-mail server in a linux server which will be able to send and receive (SMTP) and pop mail(pop3) and also be able to manage...
Msaada kwa anaejua hii 25% vodacom wanayotutangazia kila siku eti tukinunua muda wa maongezi kwa mpesa inaongezwa,hivi hii inaongezwa wapi?, kwa mfano mimi sasa hivi nilikuwa na salio la tshs 56/=...
Hello Wanabodi!
Tafadhali naombeni msaada wa namna ya kutengeneza an "online registration form" for a scientific conference. Nahitaji watu wafanye registration online halafu wapate auto-reply to...
Guys.
Wote tunafahamu ugumu wa maisha, that's why we're always asking for free or cheap.
anaefahamu how I can browse free katika mobile yangu.
natumia Huawei Ideos X Gaga.
Nikiwasha Laptop yangu inaniletea hii message
Minimal BASH- like line editing is supported for the first work,TAB list possible command completions.Anywhere else TAB list possible advice or...
Today marks the end of an
era for The Pirate Bay. The
largest torrent site on the
Internet has just removed all
popular torrent files and
made the switch to magnet
links. The Pirate Bay team...
Samahani wana JF, nina computer hiyo hapo juu. Tatizo lake ni kwamba hai boot. Ukiiwasha ina blink (rangi ya njano). Inatakiwa njano then green. I have cheked RAM, power supply, HDD, they are all...
http://www.tayoa.org/
Tayoa inawaletea wanajamii huduma bora na ya bei nafuu ya kuregister domains (matovuti) kwa hela ya madafu sh 25,000/ tuu. Sasa hakuna tena haja ya kusumbuliwa kulipia kwa...
habar wakuu!
wakuu kama kuna mtu anaweza akanielekeza jinsi ya kuingiza new frequency za star tv kwan nashindwa jins ya kuziingiza bkoz mtu aliesearch startv mara ya kwanza alisave frequency kwa...
Wakuu msaada wa tuta hapa, nahitaji ku un lock modem ya zantel nami nile kiulaini manake bundle 10 elf tabu kweli, naombeni muongozo plse:crazy::crazy::crazy:
Wadau natumaini mu wazima nyote. Tafadhali ninaomba msaada kupata taarifa. Ninataunda mitambo ya shughuli fulani zitakazofanyika maendeo ya vijijini. Nitahitaji kukusanya taarifa kutoka kwenye...
naulizia apps. especially for online Facebook chatting. I have tried nimbuzz, gochat, eBuddy and many others from Google Play (former Android market) but sio efficient.
account yangu ina friends...
Wana JF kwa wale wanaotumia net ya Airtel, niliambiwa toka wafunge mtambo wao wa 3.75G net yao imekuwa slow kuliko maelezo. Nikasema ngoja nijaribu, ni kweli iko slow sana, inakamata EDGE tu hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.