Wakuu kwenye misele yangu Dubai Mimi sio mfanyabiashara wa simu ila nimezikuta hizi simu OPPO A 57 bei zake imenivutia nizibebe kadhaa kupatia uchakavu bongo, je ubora wa hizi simu ukoje? Nisije...
Teknolojia inazidi kukua.
Nimeona makampuni makubwa Marekano kama T-Mobile yanaachana kabisa na teknolojia ya 3G pamoja na LTE plain, kisha kuwekeza nguvu kwenye 5G.
Tanzania tunajiaandaa kwa...
Habari wana jukwaa naulizia gharama za unlimited internet kwa makampun ya sim mwenye anajua anijuze niliulizia Vodacom huduma kwa wateja wakaniambia hiyo huduma ipo ila unakua umefungiwa ka dish...
Maendeleo ya sayansi na teknolojia yametuletea bidhaa na huduma bora kabisa kuwahi kutokea hapa duniani.
Chukua mfano wa simu janja (smartphone) na mtandao wa intaneti, vitu hivi viwili, vimeleta...
Leo nmewaletea software inayoweza kubypass password ya windows yoyote ndani ya sekunde chache tu, hii software inaitwa kon boot yenyewe ni kwamba ina itaruhusu tubypass password protected system...
Habari wakuu,
Kwa wenye uzoefu wa Smart TV, naombeni kujua toleo zuri(interms of features and durability) la tv aina ya hisense.
Je, kabla ya kununua inatakiwa kuzingatia taarifa zipi?
computer science refers to the processes of creating usable computer programs and applications and the theories behind those processes. An employee in this industry will likely be doing a lot of...
Wadau!
Nimekaa na ku-observe kwa muda sasa huu upande wa Youtube ukiachana na wasanii na chaneli maarufu za habari na udaku kupata views nyingi Youtube na hata watu hawa kutumika kama mabalozi wa...
Bila kupepesa macho.
Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo.
Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19.
Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.
Habarini wana zengo, je Kwenye iPhone kuna app ya call record ya free kutumia, naombeni msaada wenu ndugu zangu.
Mbali na iyo app ni app gani nyingine muhimu na nzuri nashauriwa kuwa nayo Kwenye...
Jamani habari nimekua nikitafuta kampuni bora ya matangazo ambayo ingenilipa vizuri kama google adsense hii ni baada ya kukataliwa na google adsense kutokana content language
ambayo ni kiswahili...
Nimezikuta mjini unguja zinauzwa 90k mpaka 100k nimeingia google nimekuta GSM arena hawajazifanyia review na ni simu ya 2017-2018 na kwenye baadhi ya apps zimeandikwa kichina nimaogopa nisije...
Habari wajuvi, natumaini hamjambo
Katika pitapita zangu mitandao mbalimbali ya kijamii kusaka bidhaa used nimekuta bei ya ps4 fat used kati ya 500k - 550k tofauti na ps4 slim na pro ambazo bei ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.