Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu habari Naomba msaada wa kupata LINK ya kudowload GB whatsapp Natanguliza shukrani
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habar wakuuu, Naomba kuuliza kwa watu wanaojua n vfaa gani hawa watu wanaotafsiri muvi hua wanavitumia ili kukamilisha kazi hiyo? Nawasilisha. Karibuni kwa maoni
3 Reactions
10 Replies
3K Views
Whatsupp Nina PC yaina ya Lenovo Thinkcentre ilianza kuleta error ya blue screen siku kama 4 zilizopita. Ilikuwa kwa siku inaweza restart na kunonesha blescreen halafu ikarudi normal na isirudie...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Sote tunamkumbuka Isaya Yunge ambaye alikuwa ni moja kwati ya promising souls nchini kwenye sekta ya technolojia Isaya aliweza kutengeneza Soma App app Edtech app lakini haikufanya vizuri sokoni...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Motorola Moto X30 Pro Camera 200 MP Selfie camera 60 MP Screen 6.7" Fast charger 0-100$ 19 minutes Kwa maoni yangu hii ndiyo simu bora kabisa ya Android. Sioni Samsung yenye sifa hizo
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari , natumia simu aina tecno spark 3 kama mwezi sasa, ila juzi line slot 2 ambayo nimeweka laini ya tigo haisomi mtandao badala yake inaonyesha majina tu na msg zake zilizoingia zamani...
0 Reactions
3 Replies
646 Views
Wadau nauliza simu hizi zinaweza kutumika Tanzania?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Urgent: ninahitaji id copy ya NIDA,nina namba tu,mwenye kujua namna ya kupata Najua humu kuna watu wa aina mbalimbali,na wenye uwezo tofauti Naomba msaada Amina, arusha Tanzania
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari Wakuu Naomba mwenye software ya kurudisha data ambazo zilikuwa kwenye partition ya HDD lakini kwa bahati mbaya ikawa formatted
0 Reactions
0 Replies
395 Views
naomba mnielekeze jinsi ya kuondoa facebook preload video, yaani inakula mb balaa kwenye setting nimeondoa play automatically ila ata ukizima data video nyingi unaweza kuzi play at least for 12...
0 Reactions
1 Replies
997 Views
Inakuaje mtu No yake ya WhatsApp, normal call haipatikani lakini ukimtumia text whasap zinaonesha tick 2 kuna mtu anatumia wasap yake au.
0 Reactions
5 Replies
757 Views
Nimepata changamoto App ya Instagram haifunguki. 1.Nimejaribu kuingia kwenye settings na kuclear cache still ni vilevile. 2.Nikatoa App na kuinstall tena bado vilevile. 3.Nikazima simu na...
0 Reactions
1 Replies
796 Views
Apple inawaelekeza watumiaji wa vifaa vyake kusasisha programu zao baada ya kampuni hiyo kugundua udhaifu katika mifumo yake ya uendeshaji ambayo inayoweza kuhatarisha usalama wa kifaa husika...
0 Reactions
1 Replies
869 Views
Habari wakuu, kuna dogo anataka kuanza biashara ya kusajili line zote za simu kwa alama za vidole na kuuza line za simu. Amesema kuna mtu alimwambia anatakiwa awe na mashine ambayo ipo kama simu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wakuu, nimesahau password ya ZIP FILE nifanyaje ili niweze ku-extract? Natumia simu ya android.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Niliiingia chaka nikajiunga na maximalipo kwa kununua machine yao na ku deposit 500000. Muda si mrefu kampuni imefilisika, hawapokei simu na wala sijui namna ya kupata pesa yangu. Wiki iliyopita...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Heshima kwenu wakuu. Naomba kujua jinsi ya kutengeneza video ya Lyrics kama hii hapa chini unatumia program au app gani wakuu? Natanguliza shukran zangu kwenu.
2 Reactions
13 Replies
5K Views
Entrepreneur na mwanafunzi wa chuo kimoja Dar ninampango wa kununua camera kwa ajili ya kufanyia biashara ya upigaji picha kwa matukio kadhaa sitakua na studio kwa sababu biashara hii ni ndogo...
1 Reactions
119 Replies
41K Views
Wadau wa JamiiForums napenda kujua nia APPLICATION gaini Nchini CHINA Inayotumiwa kama WhatsApp maana naona WhatsApp huko haifanyi kazi.
2 Reactions
33 Replies
5K Views
Natumia smartphone yenye technology ya 15W fast charging, techie hii inasapoti kuchaji simu ijae ndani ya dakika 20, nafikiri inasapoti mpaka chini ya hapo. Nitajieni wadau, nimechoka kuchaji...
4 Reactions
86 Replies
8K Views
Back
Top Bottom