Wadau samahan mwenye software ya kublock call and sms kwa blackberry curve ukiacha call blocker kwan nimetumia nimeona haipo userfriend pili inazuia calls tu tatu namba uliyoblock inacall kwa few...
--> SAMSUNG B7722 (...a phone no one knows about)- Original , sio KICHINA as have RECEIPT with GUARANTEE still VALID
It has features like a iPhone, (3g plus internet, Wifi, etc)
Social...
imsy messenger for JAVA..ni kama whatsapp app..ni support cmu nyingi xana tena xana, yaliyomo katika imsy ni inakusaidia ku2miana picha,kuchart na much more like update status on facebook,pamoja...
Habari za leo wanaJF. Naomba msaada/ushauri toka kwenu jamani, computer yangu imegoma kuonyesha Start Menu. Kinachotokea ni kwamba ninapoiwasha, baada ya ku-load katika hatua zile za mwanzo, pale...
Nasikia kuwa tunahamia katika mfumo wa Digital kutoka Analogy. Mimi kwa ujumla sielewi lolote, nilitaka kununua tv lakini jirani yangu akaniambia ninunue za digital. Nilipomuuliza anieleze zikoje...
award winning antivirus Avast, have produced antivirus. This is according to Alwil's advert to avast users. Checkout Alwil's Avast page
http://www.avast.com/free-mobile-security
Simu yangu ni nokia 2690.Nilipoinunua nilikuta OPERAMINI ambayo imenisaidia kuwa kwenye ulimwengu wa kisayansi.Naitumia kufungua WEBSITE ZOTE ikiwemo JF.Tatizo la simu yangu haiwezi kudown load...
wadau naomba msaada, nimejaribu ku unlock modem huwawei modem kwa kutumia huwawei unlocker (IMEI 359574035564815 ) nikapata unlocking codes ambazo ni 57142205, nikazitumia ku unlock lakini ikawa...
Naombeni msaada wenu kwa yeyote mwenye ufahamu wa Operating system nzuri ya bandwidth Manager kwa ajili ya ISP. Kwa upande wangu mimi naifahamu moja tu ambayo inaitwa ET/BWMGR inayotengezwa na...
Wakuu, nna simu ya iphone 4, ilikuwa na ios ya 4.0.2 na juzi nilipokonect na laptop yangu ikaapdate na kuwa 4.2.1 since then imekwama na inataka original sim card only, naomba msaada kwa mtu...
Download U-Torrent kutoka hapa, utakayoi install na kuitumia ku download Office 2010 Professional ISO file kutoka hapa, ambalo ukishamaliza ku download utalifungua kwa kutumia winrar utakayoipata...
ndugu memory card yangu ilikuwa na password na mi sizijui na sasa nikiweka katika simu kwa ajili ya kutumia haikubali bali naambiwa niingize password nifanye nini kwani kuna vitu muhimu ndani yake...
Nilikua natumia ant-virus ya kaspersky ya 2011, sasa kuna folder flani lilikua na trial ya kaspersky hiyo hiyo.... sasa kuna mtu nilimpa atumie laptop yangu, aka install ile trial wakati kulikua...
habari zenu wakuu mi naomba kujuzwa hizi smartphone ni simu za aina gani na adroid ni simu za aina gani utajuaje kama hii ni smartphone na hii ni adroid kama vile samsung ,nokia kama mimi nina...
nafikiri wengi munaijua hii application ya watsap, ok ni hivi hii aplication ina sifa moja hua haidisconect network yaani muda wote internet connection yako inakua active so ina maana ukiiconect...
Dstv wame launch Dstv mobile for Only Vodacom Customerz Guys kama Wewe Una cmu ina support 3g internet Speed And Streaming (watching online) you Can watch Tv then..go to the Vodacom Home page then...
Baada ya MegaUpload kufungwa na FBI na wamiliki wake kukamatwa sasa service zengine za file sharing zinajizima zenyewe, Uploaded.to wameblock watumiaji wa Marekani, FileServe wamefuta karibia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.