Nina memory card ya 4gb,naitumia kwenye nokia n70,nikifungua inasema corrupted,nikifomart inasema protected kama kuna mtu anaweza nipa mawazo mengine,thanx
Laptop inawaka lakini kwenye screen zile shortcut hazionekani. Hakuna icon hata mmoja. Sioni namna yoyote ya kuweza kuaccess folders zangu. Nifanyeje jamani? Nimezima nakuwasha kama mara 70 ila...
About Unlocking Windows Mobile Phones
"Lot of paid/Box solution available these day to unlock Windows Mobile Phones. we ll not discuss anything about any product. all product related...
Natafuta used 2811 Router 2950/3550 Switch.
Wapi nitapata tanzania hii?
(nina option ya kunua ebay - mwenye experience na ununuzi ebay naomba hints)
Nawakilisha.
Katika maandalizi ya kuukaribisha mwaka fulani, uongozi wa vodacom uliwahi kuahidi kuwa, ndani ya mwaka uliokuwa ukikaribishwa wangekuja na huduma mpya ya kuchaji simu kupitia mtandao. Kwa...
Nina x-mas tree lights ambayo ina branches mbili. Branch moja inafanya kazi na nyingine haifanyi (taa haziwaki). Baada ya troubleshooting, nikagundua kwamba hizo lights zina fuse ambazo nazo zipo...
Jamani labda mi ndio mshamba kabisa. Nilijiunga na facebook tangu mwaka juzi, huko naona kumejaa ujingaujinga na usharabaro, kila mtu anakutaka. Hapa Jf sina muda mrefu lakini nina furaha na...
Ndugu wana Jf ninaomba wanaofahamu ubora wa Nokia E7 wanipe data maana nimejaribu kudownload operamin naambiwa inahitaji frames.Hii simu imeandikwa made from Finland lakini nahisi inaweza kuwa...
Wakuu wapi nitapata simu nzuri ambayo inaspeed nzuri ya internet na yenye uwezo mkubwa wa kudownload,camera na memory kubwa na ni aina gani?kwa bei ya laki tano.
Wadau naombeni mnisaidie katika hili kwasababu hata sielewi tatizo nini,nikiwapigia customer care wanasema watalishughulikia lakini nimekaa masaaa kama saba hivi bila solution.
Tatizo lenyewe ni...
Wadau.
Nimekuwa nikitumia browser kusafu jamii forums kwenye simu yangu bila shida yoyote japokuwa kuna limitations mbalimbali lakini nafikiri kuwa inafanya vizuri. Sasa juzi si nikapata bahati...
Nimekumbana na hili tatizo wakati naingiza hii adapter yenye memory card kwenye laptop yangu. Napata msg kuwa SD storage card has a driver problem. How do i fix this tafadhali.
Naomba msaada wenu nifanyeje Laptop iliingiwa na virus (Trojan), nime scan bado imificha programs, program ZOTE nikifungua inatokea Window Media, hata Icons zote zaonesha Windows media player.
Watumiaji waliokubuhu kwenye matumizi ya blackberry naomba msaada wenu,kuna simu aina ya blackberry 8310 sasa kijana wangu mmoja anashindwa kuiona memory card naomba mnielekeze hatua kwa hatua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.