Ndugu wanajamvi wataalam wote kila fani mim nilikuwa na wazo.Tatizo la uchakachuaji mafuta imekuwa fashion sana tanzania.Nazan lingekuwa ni tatizo la kidunia mda mrefu wenzetu wangekuwa...
Ktk kanisa letu tuna vyombo vya muziki, Power mixer wtts 300, speaker 4, moja watts 400 kila moja, keyboard na vingine vidogovidogo. Je, ni solar watts ngapi inaweza kuendesha vyombo kwa muda mrefu.
wanajf naomba kwa anaejua anisaidie eti ni kweli kunaving'amuzi vya dstv ambavyo vinafanana na vile vya startimes na vnalipiwa 12000 kwa mwez.nipeni ukweli wa hli jambo kama ni kweli vinapatkana...
nikiamini kama hapa ndo kisima cha maarifa nimeona nilete tatizo langu natumai nitapata jibu...nina computer yangu cursor inapotea..mwanzo nilidhani ni matatizo ya mouce...nikabadili mouce hali...
Ndugu zangu,
Mimi nimezaliwa na kukulia kanda ya ziwa (Bukoba) ambapo RADI wakati wa mvua hata kama ni mvua wenyewe ni kidogo radi ni lazima. Nilipokuja Dar es salaam mwaka 1996 sikuwahi kusikia...
Wana JF leo nimeamua kuwaanika SASATEL wanavyo niibia. Mimi natumia modem ya SASATEL na nanunua kifurushi cha mwezi. Linalonishangaza kila nikinunua wananikatia huduma siku moja kabla ya tarehe...
kuna huduma ya kupata sms 100,kwa siku kutoka airtel,baada ya kutuma neno"jiachie'.na wanakata tsh.400.kwenda namba fulani,naombeni mwenye kujua namba hiyo anisaidie.nawasilisha wakuu.
There is many web site provide us to send free emails. Gmail, yahoo and hotmail those websites are very popular. By using these site we can send and receive emails. Here we are going to discuss...
Teknolojia wiki hii BONYEZA HAPA BBC Swahili - Habari - Teknolojia wiki hii
AU HAPA http://www.bbc.co.uk/swahili/habari/2011/11/111026_teknolojia_facebook_video.shtml
AU HAPA BONYEZA...
Wadau google imetoa os mpya ya android na iko ndani ya simu mpya ya samsung galaxy nexus. Japokuwa samsung wamesema wata update samsung galaxy s2 mwanzoni wa mwaka 2012 je kuna mtu ameweza...
Natumia simu aina ya NOKIA 6200 wakuu katika cm hii kuna mahali pa kuifanya kama pcmode lakini nashindwa kutoa michango kupitia mtindo huo.Kwa hiyo naomba kufundishwa matumizi.Sasa natumia upande...
ndugu wadau Laptop yangu iliingia maji ya kutosha tu nikaipeleka kwa fundi anifanyie marekebisho, Kuwaka imewaka lakini kioo kinaonyesha kwa mbali...what are the implication guys
Naombeni msaada jamani.Pc yangu haitaki kucopy kitu chochote.Ukicopy wakati una paste ina stak na mchezo unaishia hapo hapo. JE tatizo ni nini?NI DESKTOP DELL GX 270...
Wakuu wa JF !
Am looking to study into AUTOCAD, REVIT and 3ds MAX.
Plz tell me any organization who can teach me, or a teacher who can teach ?
PLZ PM !
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.