Wadau naombeni msaada wenu..kila nikijaribu ku connect nokia yangu ya 6233 kwenye pc kwa kutumia bluetooth inaenda mpaka kwenye kuingiza passcode ila nikishaingiza inaleta hiyo message hapo juu...
Wakuu naomba ufafanuzi.
Iwapo natumia desktop au laptop yenye let's say HDD 40GB, RAM 512 GHz, na processor <1BG, je nikiweka let's say HDD 320BG, 3GB RAM na processor 2GB, itakuwa na performance...
Habari zenu wanaJF.
nilichukua NOKIA N900, siku kadhaa zilizopita. Ila kwa sasa nikitaka kuingia ovi store au ku'update inaniletea hii message "NOKIA MESSEGING PASSWORD. This is password the...
Virusi za Kompyuta ni programu haramu yenye uwezo wa kujisambaa ndani ya kompyuta na kujiingiza ndani ya programu halali zinazotakiwa kufanya kazi mle. Ikisambaa inaathiri programu halali na...
BOFYA HII LINK = ATDHE Watch Live Sports Football Nba Tennis ATDHE.Net then chagua mechi unayotaka kuangalia.
muda huu napost hii kitu niko live naangalia MANU VS NEWCASTLE.
REQUEREMENTS...
Wakuu haka kaantivirus kanaonekana ni kazuri, nimekadownload kwenye torrent mara mbili ila keys zinazoambatana na program nikijaribu kuziingiza isema invalid user name or serial number...
Washkaji kuna njia nimeipata ya kutengeneza mshiko chap chap sema niko kwenye testing bado coz unamake cash through
surveys and alafu ukifikisha minimum cashout ambayo apo ni 50$ unaweza...
Helow JF
Nikama muvi lakini ni kweli...samsung mobile tracker inafanya kazi kweli kweli.
ok, jana mida ya saa 5:07pm shemeji yenu alichomolewa simu pale buguruni sokoni na pesa kadhaa..mimi bila...
Kwa mtu yeyote mwenye uzoefu au ujuzi au pengine ni Telecom engineer/Technician wa Airtel.
Naomba kujua kama ninaweza kutumia Modem ya UMTS (Universal Mobile Telecommunications System) kupata...
Owwwkey so I feel like bragging a bit 'cause I got me a real cool gadget today.
Recently niliharibikiwa na simu pamoja na laptop yangu nikabaki kapa.Katika harakati za kutafuta simu na laptop...
Naomba kujuzwa juu ya hii programme lakini nataka inayo-operate katika Window not mac
Naomba pia ufafanuzi.
Ukitazama studio nyingi za TV wakati wa news hasa Channel ten,Star tv na TBC wasomaji...
Wanajukwaa, salaam!!!
Ni mwezi mmoja sasa tangu ninunue simu aina ya NOKIA E5-00 (brand new). Kwa bahati mbaya, kitabu cha maelekezo nilikipoteza.
Tangu kununua simu hii nimekuwa nikijaribu...
naomba msaada mana sm yangu kwa sasa inagoma kufungua opera min ya 5.1.nimejalibu kudonwload nyingine ya 6.5 imekubali tatizo inagoma kudonwload.naomba msada
Wadau hebu chungulieni hii website, mbona mie naona kama inauza iphones na ipads2 kwa bei rahisi sana! Ni wizi au bei zimeshuka?
Discounts on Mobile - Buy it Now - Wall | Facebook
Kwa kutambua kuwa JF ni google ya kila kitu kutokana na kukusanya Great Thinkers wa kila namna naomba msaada wa mwenye soft copy ya biblia ya kiebrania. Au japo link ya website yenye biblia ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.