Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
jamani wadau, mi napenda kujifunza IT, ninafanya kazi hapa mtwara mjini, kama kuna mdau anaweza nishauri nifanyeje ili niweze jifunza hii fani, yaani kama kuna chuo chenye kutoa mafunzo ktk muda...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Salam naomba msaada kwa anayejua bei ya Norton antivirus 2012 Kingston flashdisc USB hard disc Barcode reader
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau hv tigo customer care ni namba zipi kwasab 100 inagoma?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu nimenunua tv capture card na nimeifanyia installation kwenye computer yangu...kiujumla inafanya kazi nikiweka antena tv inaonyesha vizuri tu..tatizo nimeconnect decoda ya startimes kwa...
0 Reactions
0 Replies
858 Views
Waungwana nataka ku-istall kaspersky 2011, ila nkwama pale inaponiambia niondoe eset on access scanner..niliwahi kutumia eset long time ago...Nimejaribu kusearch kila kona sioni traces za eset...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
nahitaji laptop wakuu, kabla ya kuangalia specifications nyingine nataka kujua kati ya hp, acer na deli ipi ni bora?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wandugu habari My boss wants to set the automated email reminder for one year in MS Outlook 2007 to be sent to all staff every month as far as i know Microsoft settings in MS outlook allow only...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
WanaJF ninalaptop HP 510 ilikuwa na window7 ultimate na sauti ilikuwa poa na ya juu nikaiformat nikaweka tena window7 ultimate but sauti imekuwa chini mpaka usogeze sikio...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
The UK's Chief Rabbi Jonathan Sacks has claimed the late Apple boss Jonathan Jobs and his company's 'i' products are responsible for creating a selfish consumer culture that is spreading...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
huawei e8150 ina cost sh ngapi hapa Tz ambayo ni unlocked na tofauti yake na vodafone 858 smartphone ni ipi?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau naomba kidogo mnisaidie kitaaluma kunikumbusha kwamba ni namba gani nikizibonyeza kwenye simu naweza kupata simu na ujumbe uliotumwa kwenye simu husika kwa kipindi flani?naomba msaada wenu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wakuu nimegundua hichi kitu: Ukipiga simu kutoka airtel kwenda airtel ni expensive sana tofauti na ukipiga airtel kwenda tigo. I know it sounds crazy lakini jaribu utaona. I can't recall the...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wapendwa nawasalimi Amani ya Mungu iwe juu yenu. Naomben mnisaidie kama kuna anayejua juu ya hili, computer yangu sijui kwa nin imekua slow sana.Natumia browser ya fire fox. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada wa kuirejesha huduma ya internate kwenye mobile phone yangu aina ya SAMSUNG C3010S ambayo ilitoweka ghafla takriban kama siku 4 zilizopita, me nimejaribu kufanya hivyo bila...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau hiki kimeo changu nikikiwasha, kinachukua mpaka dakika 5 kuanza kuoperate. Tatizo linaweza kuwa nini na nifanyeje ili irud ktk hali ya kawaida.?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau msaada wenu!natumia nokia 5130c express music na browser yangu ni operamini.!nikifungua facebook inaonesha version tofauti na simu nyngne,hata ile rangi ya blue&light blue haipo!ni kama...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naomba nisaidie mwenzenu procedures za kuandaa table of content na kuchora chart like histogram na pie chart
0 Reactions
3 Replies
856 Views
Nimenunua Nokia N95,Lakini kila nikijaribu kuingia kwenye internet haikubali?
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Nani anautundu wa hii simu??can I use internet without suscribing with BBm services?
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf. Naomba msaada, laptop yangu tangu juzi imegoma kufungua windows task manager. Kila nikiclick ctrl+alt+delete naambiwa "windows task manager has been disabled by your...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom