Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Arrival of new games apart from the earlier mentioned: LUXOR,TEST DRIVE UNLIMITED 2,THE WITCHER2:ASSASSIN OF KINGS,CRYSIS2,HITMAN2 SILENT ASSASSIN
0 Reactions
6 Replies
875 Views
ndani ya wiki hizi mbili kumekuwa na ajabu kuhusu internet ya airtel. waliopo junguni watuambie kuna nini siku hizi. maana inaonekana ni ya ajabu kabisa. something that sijategemea kabisa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama mtumiaji wa Smartphone za Android ambaye hapendi Samsung, ningependa kujua kama kuna wakala wa SE hapa TZ au duka linali-specialize na simu za SE hususan Xperia range
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Amani kwenu wadau, kwa yeyote atakayeweza kunisaidia, nahitaji link ntakayoweza pata cbt nuggets za mcts 70 680.. cheers!.
0 Reactions
0 Replies
829 Views
habari wadau, kuna computer ukiwasha inaonyesha kuna program ya photo galley unfinished ila sina cd iliyotumika kuinstall hiyo program na ukienda kwenye installed program haionekani.msaada jinsi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba msaada wa network drivers za HP G62-465 windows7 Ultimate kwa yeyote anayeifahamu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ee bana, receiver ya dish langu hapa linacorrupt everytime, na ile decoder inajiandika user, sasa hapa channel zote zimefutika na fundi anatuiibia hela tu,akija anapoteza muda mwingi na remote...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu niliona humu supera spyware!!hata link yake
0 Reactions
0 Replies
922 Views
Nimetumia Internet Explorer, Mozilla, Opera na Rockmelt. Mpaka sasa naona bora Opera lakini zingine zaidi sijatumie. Kama kuna mwingine ametumia zingine naomba maoni yako, web browser ipi bora...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
wadau,kuna namna yoyote ya kuirudishia uhai memory card ya cmu iliyocorupt?
0 Reactions
1 Replies
962 Views
Ndugu wana JF wenzangu, naombeni msaada wa kujua kuwa nitahitaji stabilizer ya watts ngapi kwa ajili ya pump ya maji ya kutumbukiza kisimani yenye nguvu ya farasi mmoja, yaani horse power moja...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Samahani wakuu naweza kupata mtu mwenye key/serial number za hii kitu nimeidownload kama trial ila inaniomber serial number nimejaribu kuzigoogle nimeambiwa nizinunue! ntashukuru kama mtanipa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wajameni naombeni mnisaidie maana kuna siku nilikuwa najaribu kuunga internet kwenye simu ya mtu sasa nikajaribu kwanza kuunga kwnye simu yangu ya nokia 6233 kwa kutumia ile njia ya kupia *148*01#...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu kuna laptop HP fundi kasema imeharibika CHIP SET. Napenda kufahamu mahali walipo agents wa HP TanZania:dsm/mwanza ili ipelekwe waitengenze. Kama kuna mtu ana...
0 Reactions
1 Replies
761 Views
WANA JAMVI TATIZO LANGU NI KWAMBA NINA DESKTOP YA HP NA TATIZO LAKE NI KWAMBA NINAPOKUWA NINAFORMAT NINAKUTANA NA TATIZO HILI, INSTALLING WINDOWS YENYE DAKIKA 39 INAENDELEA VIZURI MPAKA DAKIKA YA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
DME is soon going to take most of the ERB preliminary activities and is in the effort of organising itself. There will be AGM for the same division to be communicated later. DME has arranged an...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Free Video Converter is the software designed to convert video formats of various types and does cost free to use. If your video player does not support some video format and you want to convert...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Kunatatizo linanipata kwenye account yangu ya yahoo,kila nikitaka kulog in inaniletea msg yakuwa invalid username or password,lakini kila kitu kipo sawa nashangaa tatizo ni nini,yeyote mwenye...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mara nyingi inatokea hawa wanateknolojia wanatuchanganya na misamiati bila sisi watumiaji kujaribu kujua hasa kuna tofauti gani za kitaaamu na kiufundi zinasabaisha misamiati hii. Usipokuwa...
3 Reactions
5 Replies
4K Views
Jamani hii sasa tabu, siku hizi bundle ya wiki moja(unlimited) Voda ukitumia kidogo tu, speed inadrop hadi 20kb/s or less.Kiukweli hii inabore sana yaani bora hata EDGE kweye Airtel. Mimi nina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom