nahitaji blackberry curve yeyote ile hata 8310 poa tu, nipe bei, isiwe ya kichina, new or used, napatikana Dar Mikocheni, nitakufuata popote ulipo,isiwe nje ya dar, ila kibaha, bagamoyo naweza...
niaje wakuu? Back in days kidogo kuna jamaa wangu alinileteaga pc game flani ivi ilikua na like 11gb bt ilikuja na cd 3 ambazo niza kuburn. Napenda kufaham software ambayo unaweza ukamerge a...
Nina modem ya Airtel na zantel, lakini nikiweka kwenye ubuntu hai-access internet hivi hii ni kwanini?au inabidi ni-install wine niweze kuinstall?kwani kwenye window software installation inakuwa...
wakuu habari, naomba ambaye anaweza akanipa format ya video format ambayo ni compatible na DVD-player, pamoja na video coverter kwa ajiri ya hiyo format. natanguliza shukrani
habari wakuu. nakumbuka nilitoa ahadi ya ku supply fifa 12 endapo ningeitia mikononi. sasa natangaza rasmi kwamba nimeipata na yeyote atakaeitaka ani pm. vilevile kuna games kama FIFA 11,NFS HOT...
Ndugu wana JF, nawasalimu katika jina la harakati za teknolojia.
Nina blackberry mpya, lakini niko disappointed kupita maelezo. Nimemiliki vimeo vya Nokia, LG, na Samsung, n.k. ambavyo vilikuwa...
Habari zenu wakubwa
natumaini wote wazima,
tatizo langu nikwamba nimejaribu kuchakachua modem ya huawei e153 sasa umeme ukakatika sasa nimejaribu kuitumia inakataa line zote mpaka ya tigo...
Jamani wadau hamjambo?Mimi ni fundi umeme wa mtaani.Nimejiandikisha VETA ili niweze kufanya mtihani wa trade test.Je CHETI chao kinaweza kunisaidia kutafuta kazi sehemu kama TANESCO?kinatambulika...
Wana JF habari za asubuhi; kuna rafiki yangu kanambia kuna software inaitwa Record Me ambayo unaweza uka install kwenye cmu yako au mwenzio ukarecord conversation na msgs zote.
Naomba input zenu...
Adobe wametangaza kuwa wanastopisha development flash player kwa mobile kwa sasa na wanajikita kwenye future Web standard ambayo ni HTML5. So mpaka hapa ina maana flash inaoenakan inafaa...
JF guyz naomba mnisaidie nimeinstall kaspesky trial version sasa inaniambia imebakiza siku sita kuexpire nisaidieni jinsi ya kuingezea siku nipeni ujanja pliz!!
pia window 7 inasema is not...
Touch Pack for Windows 7
Windows 7 has been the most popular OS ever for Microsoft. One of the big features of Windows 7 was its integrated support for PCs that were capable of taking advantage...
Wakuu habari zenu ebwana kuna mtu(mpenzi wangu) nataka nipate details zake ana naona kuna mabadiliko makubwa na kwa kuwa ni mjanja nahisi anachat na kidume kingine kwa facebook wakati mimi ndio...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.