Viulizo hivi watu tunavitumia kwakujua ama kutokujua katika kufanya mambo mbali mbali kama
Kwenda kazini, Kutongoza , nk teh teh teh teh
Kufanya maamuzi kama kuchagua kati ya...
Community for people who want to advertise and promote their products and services. Also a perfect platform to meet with other people to share and discuss different topics. Join now for free and...
Habari. Naomba kufahamu kama kuna tofauti ya HP na HP Compaq.
Ninatafuta betri ya Laptop HP 6730s dukani kuna HP compaq 6730s
Aliyeniagiza yupo mbali sana. Vipi kuna tofauti ya vitu hivi viwili?
najua asilimia kubwa ya wana JF humu ndani pia ni wapenzi wa huu mtandao FB..lakini hivi ulishawahi kujiuliza kwa wewe unaetumia FB,hivi kwa mfano FB ikifungwa ulishawahi jiuliza utahamia network...
Wataalamu naomba mnijulishe hili tatizo sababu zake ni zp!natumia chrome kama default browser yangu,lakini nikifungua facebook ,ile page hai display yote yaani inaonesha ile ribbon ya facebook,my...
Wadau naombamaoni yenu mi niko mbeya ila tbc na star imekuwa hadithi wengine wanasema frequency zpo chin wengine wanasema mfumo umebadilika samahan naomba msaada ktk hili*
whts up JF members
this specially for people who were looking for online storage!!
A VERY EFFICEIENT WAY OF DOING BACK UP FOR YOUR IMPORTANT FILES!!!!
now Adrive wametoa 50gb free...
Our Apple iPhone 4G comes with complete accessories, also with one year limitedwarranty and Apple Protection Plan
Minimum order is 5 units.
Buy 5 units Apple iPhone 4G (32GB), will receive two...
Latest Apple Mac Book Pro 13" with Mac OS X operating system for immediate sale with the following specs:
Version 10.6.7
Processor 2.3 Ghz Intel Core i5
Memory 4Gb 1333 MHz DDR 3
Macintosh HD-320...
mkuu hapa watu wengi tunatumia computer moja hivyo baadhi ya file zangu zinafutwa
nimejaribu kufungua new account lakini unaweza kuifungua na kuweka pasword lakini uki-restart na ukaingiza user...
WanaJamvi.
Nimenunua Samsung A887, Wakati naitumia kwenye internet ghafla ikazima, nilipojaribu kuiwasha ikawa inawaka na kujizima yenyewe tendo ambalo linajirudia mara kwa mara mpaka nilipoamua...
ni j2 nyingine tunamshukuru Mungu kwakua tu hai. hapa nataka kuongelea swala la msanii huyu anayejiita kivuli. Kuna rafiki yangu alinitumia wimbo huu kwa bluetooth,akiniambia niusikilize ni...
Jamani watoto wamebonyeza tv yangu mpaka imejilock.inaonyesha kufuli la rang ya njano.Hakuna botton inayofanya kaz zaid ya ile ya kuzima na kuwasha.Naombeni msaada jaman!hako kakufuli ni ka njano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.