Most of us get SPAM every day. Some of us get more and some little. Even a newly created email account will begin to receive spam just after a few days of its creation. Many times we wonder where...
Kuna tutorial hii nzuri kwa ajili ya wale wanaopenda PhotoShop. inaelekeza jinsi ya kutengeneza Photoshop - Animated Text Shine Tutorial - iCombined | Together We Make it Shine kwenye photoshop...
HAMJBO VIJANA NA WAZEE?NIME FORMAT PC YANGU NA KUWEKA UPYA XP SP3 ILIYOKUWEPO AWALI.TATIZO NI KELELE AMBAZO ZIPO KAMA ZA GARI NDOGO ILIYOPO SILENCER NDO ZINANIKERAAA.MTU WA CHUMBA CHA PILI ANAJUA...
MIMI KAMA MDAU WA TECHNOLOGY BAADA YA KUSIKIA UJIO WA HII KITU NA KWA SABABU TU NA KUBALI SANA HIZI KAZI ZA HAWA WAYAHUDI WA GOOGLE NI LIJIUNGA KLE KIPINDI CHA INVITE ONLY WAKATI WAKO KWENYE...
Chinary Herman Kojo
Mfanyabiashara wa Ghana Herman Kojo Chinery-Hesse, hujulikana kama Bill Gates wa Ghana,na ni wa kwanza kutajwa katika mfululizo maalum wa vipindi vya BBC "African Dream"...
Wadau niko kwenye disatater nimebadilisha server role sasa inanigomea the admin password I knew and was working till recently; naomba msaada wa ku recover pasword ya Windows 2003 server...
If you put Saturn in water it would float
All of the Earth's continents are wider at the north than in the south - and nobody knows why.
We are moving through space at the rate of 530km a second ...
Creating a Microsoft Outlook backup of your emails and settings is something important as a lot can happen in the future and we have to be in a position that we can restore our emails and settings...
hEY gUYS,
Naomba mnisaidie, nina External Drive ya Seagate 1TB, nimeigawanya mara nne(partitions). I dont know what went wrong today, nilikuwa najaribu ku backup my files from laptop but drive...
ndio wakuu niaje? nahitaji ku run softweaz za mac kwenye windows nafanyaje? am aware of vitu kama crossover and wine lakin hizi ni vice versa meaning zinasaidia kurun win apps kwenye other os kama...
nimesikia wakuu kwamba 30th of this month ndo EA sports wata release hii game ambayo naskia itakua ni revolution katika game za mpira. naskia jamaa wamewafunika hadi Pes. je una mtazamo gani...
wakuu nimekopi program ya Nero toka computer moja kwa kutumia flash na kuitumbukiza kwenye local disk ya pc yangu , sasa namna ya kui-run ili nipate kuitumia ndo kimbembe, natumia window vista...
jamani naombeni msaada natumia noki e61i and nasikia kuna uwezekano wa kupata e mail moja kwa moja kama sms za kawaida, bt sijui jinsi ya kufanya ili nifanikiwe hilo zoezi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.