Mambo guys.?dah jaman naomben msaada wenu cuz kila nkitaka kuinstal modem yngu ya voda inaenda inaenda inafk sehem fulani inaandika"roll back action"then inapotea..help me pls!!
naomba msaada wa karpesky licence, nimedownload na nimepewa trial wiki moja, natumia nokia 5320, IMEI 355740028602334. Kwa yeyote anayeweza kunisaidia tafadhali!
Natumia modem ya AIRTEL HUAWEI E 153,nikiweka SIM CARD ya mitandao mingine ina andika"Only the specified sim/usim card can be used on the device"JE iko njia ya ku unlock? naomba msaada wenu tafadhali
Habari zenu Bandugu,
Early this Month nilipokuwa Dubai I saw this phone ikiuzwa kwa USD 800. Though mimi ni mpenzi sana wa simu but was surprised kwa simu kuuzwa bei ile pale airport as vitu mara...
If you have a fully functional LAN then net sharing is few click away, yes few clicks. I assumed that you have already a broadband connection and account configured on your PC. Just go to My...
kwenye hii version ya fifa wame assume kwamba kila mtu anatumia gamepad kwaio settings zao za keybord wameziset into default. any ideas ku assign keys zako mwenyewe?
Do your PC affected by Autorunvirus? When this happens you cant open any drives by a click. There is a simple solution to make PC resue from it.
To encounter these kind of virus do the following...
Tangu google watoe os yao ya android, wameweza kuyapiku makampuni mengi yanayo tengeneza os za cm za 3rd part os kama microsoft windows mobile na symbian. Kwan makampuni mengi ya simu yamegeukia...
salam nyingi wakubwa,
Naombeni msaada wenu kama kuna media player inayotoa subtitle kwa movies maana nakosa utamu wa movies ambazo hazijachezwa kwa lugha ya kiingereza. Mfano hapa nime-download...
I have made a graphic video cartoon for Tigo, thinking that they will love it and use it. But it was different when i visited their office, I met with receptionist and i told her what I brought...
The Ubuntu team is pleased to announce Ubuntu 11.10 Beta 2.
Codenamed Oneiric Ocelot, 11.10 continues Ubuntus proud tradition of integrating the latest and greatest open source technologies...
habari zenu wakuu,mimi nipo hapa bongo nataka kufungua account ya paypal.. Hivi inawezekana kwa hapa bongo, mwenye nayo naomba anielekeze na jinsi ya kudeposite hela na n.k... Nisaidieni wakuu
CAPE CANAVERAL, Florida (Reuters) - A six-tones NASA science satellite plunged through the atmosphere early on Saturday, breaking up and possibly scattering debris in Canada, NASA said.
There...
Mtazamaji ametoa ufafanuzi wa jinsi ya kufanya online marketing,wa2 wanetoa njia nzuri za kujitangaza,google ina njia kibao za kufanya marketing,JF ina forum ya matangazo cha ajabu hawa watu...
kuna movie kadhaa nataka kuzidownload kutoka internet ila kila nikijaribu kuzigoogle naletewa vipande(siyo movie nzima) na nikifungua baadhi ya hits nakutana na kujaza maform ambayo baadae...
Ombi kwenu wataalam, naomba mnisaidie jinsi ya kudownload drives za VGA,maana nimeweka Window XP,lakini nikakuta screen inaleta font kubwa sana, na nikienda kwenye settings nakuta kuna resolution...
The Ubuntu team is pleased to announce Ubuntu 11.10 Beta 2.
Codenamed Oneiric Ocelot, 11.10 continues Ubuntus proud tradition of integrating the latest and greatest open source technologies...
Hi all,
I am running Server 2003 Enterprise and want to establish a VPN so that the server can be accessed remotely by other computers both in and out of the local network.
I have tried setting...
Wakuu.. Heshima mbele,
Nina Computer (Acer, RAM 4GB, Processor AMD 2.4GHz) ina dual boot ya win7 na Ubuntu 11.04 but nashangaa bila sababu za msingi kila ninapojaribu ku log in kwenye ubuntu keys...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.