Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wana JF msaada wa kuichakachua ZTEMT UI MODEM YA TTCL.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hellow, ningependa kufahamu any Ideas,process etc jinsi ya kuwa omba hao jamaa watangaze kwenye website yako binafsi ambayo ina mvuto na wateja wengi na HITS nying per day!!? Na hizi namba za...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Hivi majuzi ceiling fan limekorofisha ,out of curiosity nimelifungua kwa lengo la kujua tatizo. Nilibaini coil zimeungua kabisa(jumla ya coil 28 ie miviringo miwili kila mviringo coil 14). Kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimehangaika sana kuresolve hii inshu, help plse Dell Studio 1536 64 bit-ingawa naistall linux 32 bit Ubuntu 10.10 Ultimate Edition(UE), napata hii message BusyBox v1.10.2 (Ubuntu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
nataka kufungua social network website kama facebook, tagged, interpal e.t.c but sijui requirement wala procedures.
0 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu habari zenu, kwa yeyote ambaye anaweza kunisaidia kupata software ambayo naweza kudownload website nzima, ambayo baada ya ku i download website hiyo naweza nika peruzi hata nikiwa sina...
0 Reactions
2 Replies
995 Views
Nina laptop (Win 7 home premium) hapa alikuwa anaitumia mdogo wangu, sasa ikaanza kustack tu bila sababu. sasa nataka kubadilisha OS installation nayo inagoma ikifika kwenye expanding files...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. I know hapa ndani kila kitu kina majibu. I want to be a software developer so nauliza hapa kwetu bongo which is the best college which can guide me to my dream career. Nataka...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
..Wanajamvi hili naomba Naomba mnijuze, nahitaji kununua Tv Tuner, naomba mnielimishe aina zipi ni Nzuri na Range ya bei zake. Thanx in Advance.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nauliza inacost kiasi gani Tz,kufungua website for online sale? Tafadhali mwenye ufaham naomba anipe jibu.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nisaidieni, namba hii (+500200c691) imekua ikituma empty sms kwenye simu yangu mara tatu kwa siku tatu tofauti zisizofuatana. Kwa mwenye uelewa nayo msaada tafadhali.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani msaada wa maoni ya aina hii ya gari?-mistubishi pajero io----- Nini matatizo yake makubwa na yanatibika vipi?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
We are in need of a guy who is good in graphics with a strong expertise on the use of HTM and CSS. The job is a single project and not a long time employment, if you are interested about this...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Poaching is threatening the survival of rare monkeys, Sanje Mangabay, a delicacy for thousands of villagers along Udzungwa Scarp Forest Reserve in Kilombero district, Morogoro region, it has been...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Hi wakuu wa teknolojia. Ni baisikeli gani nzuri bei yake na specification. Natanguliza shukrani
0 Reactions
10 Replies
4K Views
jamani ile website nmeirekebisha kama mlivyonishauri naomba mnipe mawazo yenu. Ilala Mission Centre
0 Reactions
0 Replies
788 Views
Habari zenu wakubwa. Naomba wataalamu waangalie hii website halafu waniambie kasoro/ mapungufu yake kitaalamu. Plz naomba msaada wenu.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
wataalam wa facebook tunaomba taarifa kama ndio tayari facebook ishafungwa rasmi manake haipatikani
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Keep fast your hard-disk Read/Write speed. Erase your hard-disk errors by simple stepsand heal your system. This is the cool trick for amending your system.Try this! Step1: Open run Step2: Type...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wana-JF. Naomba msaada toka kwenu tafadhali, kama kuna mtu anajua jinsi ya ku-download Free accounting software inayojulikana kwa jina la TALLY anipe maelekezo. Asanteni.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom