Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Jamani wataalamu naomba kuuliza. BOOTABLE CD NDIO NINI?INAFANYA KAZI GANI NA WAKATI GANI?PIA INATENGENEZWA VP?NAOMBA KUFUNDISHWA TOKA KWA WATAALAMU. Msaada jamani!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari wana Jf,okay mimi nimenunua moderm​ ya voda,sasa nilichokuwa naomba kwa wataalamu ama wanaofahamu jinsi yakufanya ili uweze kutumia moderm hii kwa mitandao yote kwa maana nyingine...
0 Reactions
2 Replies
889 Views
wadau nimekua nikitumia laserjrt 4050N printer kwa muda mrefu biala matatizo...ila jana wakati naprint ikagoma na kunipa sms ya "50.2 FUSER ERROR" nimejaribu kusolve hili tatizo siku nzima...
0 Reactions
1 Replies
845 Views
wakuu hii habari niliskia bbc,kwamba huko kenya wanapata mwanga wa taa kwa kutumia chupa ya maji,sasa nauliza kuna mtu ameona hii kitu inavyofanya kazi?
0 Reactions
3 Replies
951 Views
Salam zenu wakubwa, Naombeni msaada kwa desktop yangu haitaki keundelea kuwaka mara niiwashapo ikfikia inaonyesha neno 'welcome' haiendelei zaidi ya hapo hata nikisuburi zaidi ya nusu saa au zaidi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni msaada wa jinsi ya kuzi-block e-mail usizozitaka mfano hizi zinazotangaza viagra n.k maana siku hizi nimekuwa nakerwa sana na hizi email maana imekuwa ndio fasheni ukifungua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Hello Sijui kama wadau mmeshaona hii software toka adobe, ni bure na hakuna writing codes at all kama umeshaiona basi pole kwa kupoteza muda wako wakusoma hii post, tutorial follow this link from...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
WADAU NINAOMBENI MSAADA NINA LAPTOP INSPIRON 600m inashida na haiwaki kila nikiunga adapter yake adapter inazimika taa ya kijani inayokua inawaka sijui ni nini tatizi nimejaribu kufungua ndani na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani wataalamu naomba kuuliza.Nahitaji kuwa naitumia computer yangu aina ya dell kuangalizia steshen kama tbc,chanel 10 nk.Je nahitaji nini na nini ili niweze kuangalia tv kwa kutumia computer...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
How to Run Mac OS X v10.6 (Snow Leopard) using VMware on an Intel PC If you salivate to the thought of using Mac OS X and just want to experience its wonders but couldn't afford to buy a Mac is...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
wakuuu naombeni msaaaada tafadhali..... kuna mtu ameihack email yangu ya yahoo... amebadilisha kila kitu from my password, security question na altenative email niliyoiweka.... nashindwa kujielewa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Jamani kwa wale wapenzi wa katuni ya star wars,ma programmers wa microsoft waliitengeneza katuni hii na kuificha ndani ya windows xp. Sijui walikuwa wanacheza au la kwa sababu hadi leo sioni...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu msaada wa mawazo jamani naomba mnielekeze namna ya kuweka outlook kwenye laptop yangu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wale watumiaji wa Vodacom kuna droo za aina mbili zinaendeshwa kwa wakati mmoja; moja kushiriki ni bure (ya LCD TV) na nyingine inalipiwa (ya TSH 11m). Kushiriki ni hiari ya mteja. Nilijaribu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nitawezaje kuchakachua moderm yangu ya Voda yenye IMEI: 359574035548743 model: K3565 - REV 2
0 Reactions
1 Replies
784 Views
Tujaribu kubadilishana uzoefu wakuu, kwa wale wanaotumia ISP ttcl,kwa huduma ya dedicated-specifically kwa speed ya 512mbps bei elekezi n ngapi? Pia itakuwa vizuri kama mtu mwenye habari za ndani...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
JAMANI WANA JF, Kwanza kabisa nashukuru wana JF kwani kupitia forum hii nimejifunza mengi. Nimekuwa nikilalamikiwa na marafiki zangu kuwa wanapokuwa online kwenye email, wananiona kwenye...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hi Nisaidieni namna ya kupata applications compatible na simu yangu LG X330
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hey, welcome to another funny tricks on computer. This will show you how to make fun with your computer when you got bored surfing some boring website in internet 1) Calculate by Your web...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom