mfano ofisini wameamua kudisconnect my account kwenye outlook...how do i bring it back?
Kwa sasa nikifungua outlook inajaribu kuconnect but inafail wamedisconnect coz kuna nyingine tutaanza...
Wakuu kwa mwenye ufahamu anisaidie.nimenunua kalamu yenye camera,video,audio na flash.haina manual.naambiwa yaweza record sauti,video,picha za kawaida.ila nimeweza kupiga picha tu na nimeziona...
Why it's Sometimes Necessary to Run a Startup Repair 3 Times to Create Windows Boot Files to Another, New Location
When a Windows Operating System (OS) is installed it becomes the system...
KUNA search engine nyingi, lakini sijaiyona nzuri zaidi ya hii. inakupa kila kitu. upande wa kushoto unachagua tu file ambalo unasearch litoke kwenye web storage gani kama mediafire...
Jamani wana jf naomba msaada nimehost website yangu zile static pages nimeweka ila shida imekuja kwenye kuitupa database hapo nimeshindwa naombeni msaada please mwenye kujua hilo
Hivi kati ya R.A.M na PROCESSOR ni kipi kinachoifanya computer iwe na speed?.Nauliza hivi kwa sababu nina laptop yangu Pentium 3 ina RAM 64MB na PROCESSOR 615 Mhz yaani inachukua muda mrefu kweli...
Habari wana jamii, natumai post hii imewakuta salama.
Ninahitaji a 32 or 48 port switch(100Mb/s or 1Gb/s), managable prefare, any of the below makes also prefared
Dlink
intel
hp
Bei iwe...
Hebu tu share Add on, najua kila mtu anazo anazipenda kutokana kila mtu anashughuli zake kwenye net, wapo wazowefu ambao wapo muda mrefu kwenye mambo haya, hawa watakuwa wanajuwa mengi kwa hiyo...
zipo njia nyingi ila leo nimekutana na njia mpya ambayo nimeipenda mno. hiii inakubali kama unatumia firefox.
How to Download as Premium from DepositFiles, Hotfile, MegaUpload and Mediafire |...
wadau ..
natafuta set ya mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya mmini market.. nilijaribu kuielezea siku za nyumalakini nadhani sikueleweka..
ni kwa ajili ya sehemu moja tu... mfano wake ni ka ahizi...
kutengeneza tovuti (websites) siyo jambo gumu tena. ikiwa unahitaji kutengeneza tovuti yako binafsi au kuwatengenezea wengine usiwe na presha tena. utahitaji mwezi mmoja tu wa kujifunza nami...
Wandugu, nimegundua Dell yangu latitude D630 inaweza kupokea chip ya simu. Nataka kutumia Dell Mobile Broadband Card Utility kupata data na huduma nyingine kutumia chip ya zain. Nimeistal driver...
Japokuwa mm si mtaalam wa computer sana lakn ni mtumiaji sana na nafikiri kwa uelewa wangu mtanisaidia ktk hili. Hapo kabla nilikuwa natumia real player kwa ajili ya kuzi-capture movie, nyimbo, au...
Hi wana JF,
Niliiformat mashine yangu, na kwa bahati mbaya drivers za webcam zikagoma kurudi. Sasa nitafanyaje nizirudishe? PC yangu ni window 7, vista. Nimejaribu kudownload naona inazingua sasa...
Single Molecule Motor Is The World's Smallest
Scientists have created the world's smallest electric motor, made from a single molecule.
The tiny gadget is expected to lead to new devices that...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.