Cardinals fans can breathe easy. Larry Fitzgerald, the franchises career leader in receptions wore Reggie Bush Dolphins Jersey and signed a new contract extension Saturday for 8 years, reportedly...
halo my friends i need some on my dell computer,whenever i swtiched it on it tells me 'it cant find file *c/program*' or sometimes if i pass that error it wont stay long and turn off itself,this...
Run Regedit as SYSTEM to Solve Error While Deleting Key Author: Raymond
Yesterday one of our forum member solin asked a question on how to delete the LEGACY section at registry. After...
natumia orbit kudownload some issues lakini nikitumia modem huwa nakataa kudownload sijajua ni nini kinachofanya isi download wana FJ naombeni msaada nifanye kitu gani?
jamani naomba nataka kununua subaru forester ya 2002 used from japan. i like that car but siijui vema hasa matatizo yake... kwa anayeijua vema naomba anijuze hapa.
Hello wajf nilikuwa naomba msaada katika hili ninapofanya installation ya ARC GIS kwenye laptop yangu ambayo ina window ya (WINDOW 7 ULTIMATE) installation inafika sehemu inagoma sasa sijajua ni...
Wadau hivi simu za kichina zinatumia os gani maana simu nyingi nikiangalia kwa makini naona os zake ziko sawa utofauti wake ni umbo tu na programs zake pia znafanana. Mimi nahc labda zinatumia os...
unapigiwa simu na mtu anakwambia amekuta miscall ya namba yako, au mwingine anakuuliza mbona unambeep, na kiukweli wewe hujapiga hiyo namba na wala huijui, na ukiangalia kwenye dialled namba zako...
Wakuu naomba msaada wa namna ya ku access interface ya kuingiza keys za channels katika receiver aina ya Gulf Star model 8100. katika receiver za Strong unabofya 8280 na unaipata mara moja na...
SALAAM WAKUU,natumaini mambo shwary. tatizo langu nina ipod yang ambayo ina run veeeery slowly yan kama ukienda kwenye option ya music ukaselect itabidi usubiri kama 2mins ndo ianze kuplay...
Salam mbele wataalamu wooooote pamoja na we unaesoma post hii.
Swali langu ni je kuna mtu anaweza ku-hack password ya facebook ya mtu
iwapo huyo mtu kanipa user name yake?
Wakuu, Nimenunua Blackberry Storm 9530 ambayo imetolewa na Verizon, Tatizo ni kwamba inatumia line ya Vodacom pekee na nikiweka line ya Tigo au Airtel hairespond. Je tatizo ni nini hapa? Naomba...
ebana wakuu hawa jamaa WA RIM ni noma,hebu check hii blackberry mpya,waloachia,ni balaa. Blackberry Empathy Concept Phone by Kiki Tang & Daniel Yoon » Yanko Design
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.