Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wadau naomba msaada wa namna ya ku unlock application store ya i-phone version 4.1.
0 Reactions
0 Replies
678 Views
Naomba msaada kwa mtu anaejua namna ya kupata chanel nzuri za muvi na mpira kwa kutumia decoda za free chanel. Decoda nayotumia ni mediacom. Kwa muda mrefu tulikuwa tunapata etv, muvi tv...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta watumiaji wa smartphone hasa nokia n,e, and x-series hapa jukwaani tubadilishane mawili matatu.I invite all!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Nigeria launches two satellites NigeriaSat-2 could help Nigeria manage its natural resources Continue reading the main story...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani mimi siyo mtaalam sana wa computer, tangu jana kwenye laptop yangu nimejikuta nikifungua website yoyote ile, haifit kwenye screen size. Maandishi yanasambaa sana nikitype email, au nikisoma...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
kuna jamaa namfahamu hua akiingia katika internet cafe anaweza kudownload mpaka 20 gb na zaidi ndani ya saa moja. Tatizo hasemi hata kwa hela, anaejua pls tupeane ujuzi jamani.
0 Reactions
20 Replies
4K Views
ebana mimi nimechukua computer lakini haina flash inaiwezesha kuplay vitu vilivyo kwenye internet kabla ya kudownload.je flash gani nzuri ya kuplay kwenye internet na inapatikana web gan?
0 Reactions
4 Replies
940 Views
naomba msaada, namna ya namna kuungisha internet kwenye simu za kichina
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari zenu wdau, naomba mniwezeshe kupata software ya bure itakayoniwezesha kudownload mp3, hasa bongostar link.
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Wana JF, nimefanikiwa kuipata hiyo software na crack folder yake, lakini nimeshindwa kuicrack. naomba msaada wenu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ambaye anauza Toshiba laptop, yenye Ram kuanzia 2GB na hard disk kuanzia 250 aniambia pamoja na bei yake
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Baada ya voda kutuzingua na unlimited yao kuona tunafaidi sana. Nataka hamia TTCL je naweza nunua line ya ttcl na kutumia kwenye modem yangu nliyo i flash?.. Je package zao zinakuaje? Na ofa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Avg key: 8meh-rxyfd-juv72-8922r-ftbz6-qembr-aced Kuna members nimeona wanaulizia Avg key.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. what design pattern have you ever used in your projects and what was your experience? 2. What are procedure you follow from conception of project to final release? if(isset($discussion)){...
0 Reactions
1 Replies
757 Views
Wadau nimenunua hii gadget ili kushare mobile interent from 3g modem za Vodacom/Zantel ; haikubali .................................KLana iko ok kwani ndiyo nayotumia nikiweka adsl modem ya TTCL...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba msaada kwa anayefahamu jinsi ya kuupdate bios. Nimejitahidi kila niwezavyo imeshindikana. Ninazo information zote kuhusu kuhusu BIOS yangu. BIOS Type: Insyde BIOS Version...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Naitaji ku intlat nero inakataa ntafanyaje jameni.
0 Reactions
2 Replies
931 Views
Kuna project nafanya na natumia PHP. napata error hii: Fatal error: require_once()[function.require]: Failed opening required...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Niaje wakuu? natumaini hii post tayari kama ishawahi kuepo ivi ila naomba niweze kushare knowledge na wenzangu kwani nimefanikiwa hii kitu hadi raha japo bado sijaaanza transactions. Ni hivi,jinsi...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Dear wakuu JF, Ninayo Simu ya SAMSUNG C3200. It has many nice features, plz search it online ! Price- $100. used for only few months. PM if interested
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom