Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wANDUGU, NIMEPATA HII MAIL, NI KWELI AU UTAPELI ???????????????rom: nokiaconnectclaim@hotmail.com To: XXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXXX Subject: NOKIA VERIFICATION REQUIREMENT (Fill & Attach Passport...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Haya tena wale wateja wa voda kila ukiongeza sh 1000 ya pamoja unapewa sms 100, dakika 10 na 500 megabytes ambazo utatumia kuanzia saa 5 usiku hadi saa 12 alfajiri! Ni hayo tu wakuu!
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Puk
Wana JF, Kuna namna yoyote ya kupata PUK baada ya sim pin kuwa blocked? Kama ipo tafadhali naomba msaada wenu. Ni sim yangu ya siku nyingi hivyo hata starter pack yenye PUK siioni.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Voda wamenzisha package mpya wanaiita SPIDI 7 ambapo unalipia tsh 15000,unapata 1GB only ambazo utaweza kutumia kwa wiki moja kwa UNLIMITED speed. Kumbuka BOMBA7 au BOMBA30 (tsh 30,000 kwa mwezi)...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
$12.5 Billion! Mtengenezaji wa simu na tablet za Android Mototola ambaye juzi, juzi alitangaza kuwa amepata hasara na pia alitangaza nia ya kuwashitaki watengenezaji wengine wa Android kwa...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
PLEASE SHARE THIS FORWARD >>> From; Kachina Glover Virus spreading like wildfire on Fb and My Space! It is a trojan worm called koobface. It will steal your info,invad ​eyour system and...
0 Reactions
3 Replies
842 Views
guardian.co.uk/technology/blog/2010/oct/06/facebook-privacy-phone-numbers-upload Is your private phone number on Facebook? Probably. And so are your friends' Uploads from iPhones using the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
jamani msaada kwa yoyote anayefahamu wapi naweza pata modem inayosuport CDMA, nina lSIM card ya TTCL. sina uhakika kama hizi modem nyingine zenye kusupport WCDMA,EDGE,HSPDA,GPS etc inaweza faa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HEY GUYS BLACKBERRY YANGU NIMETUMIA 2MONTHES ONLY IF UKO INTERESTED mail me hilblac@hotmail.com .
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani naombeni msaada,ni jinsi gani ninaweza kutumia smart chip pale nyuma ya betri maana kuna nafasi hiyo kwa kudaka network kama modem.
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Kama unatumia simu ya line mbili, ukifika mbagala, kuanzia mtoni na kuendelea kama unatokea mjini, mitandao yote haifanyi kazi ispokuwa tigo tu. Tatizo hili lilianza siku ile ya mabomu ya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Guys, nimedownload movie thru Vuze program ila si computer wala DVD player imeweza read hiyo movie! Nimejaribu kuifungua kwa Window media player, na quick time with no avail! Si mtaalamu wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hi Guyz, Kuna wakati niliwahi kuandika kuhusu namna ya kufungua bios password kwenye compter(laptop na desktops). Nimekuwa nafuatilia hiyo kitu for sometime now. So nimekuja hewani on the same...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
habari wakuu,nimenunua modem yangu TTCL, sasa tatizo limekuja hapa nimeweka elfu nane nikajaribu kuactivate package ya 1gb lakini ikagoma.activation code yao ni *201*1234*2# 7 days lakini hola...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
jamani wadau kila nikijaribu kufungua website ya jamhuri National Website of the United Republic of Tanzania, napata warning, Warning - Malware Detected, Warning: Something's Not Right...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kama kuna m2 anajua wanapouza ipod but price zao co mbaya,kila ninapoenda za mchina fake.but co expensv
0 Reactions
6 Replies
1K Views
hacking group Anonymous has vowed to "kill" social networking site Facebook on 5 November 2011. Speaking via a YouTube video, the group also claims that "Facebook has been selling information to...
2 Reactions
39 Replies
3K Views
WanaJF wenzangu habari za jioni baada ya purukushani za siku nzima natumai mu wazima.Nalileta mbele yenu hili linalonisumbua kichwa.Kwa ufupi jamaa zangu wa kanisa huko mikoani wana hospitali yao...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba mtu anijuze tafadhal. Coz kwa unix naweza tengeneza coz wameweka hyo feature ktk os zao kwa case ya win 7 inakuwaje. Kuna trick gan?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom