Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
kwa wanavyuo au hata marafiki nunueni baundle kubwa kwa kuchangia then hakuna haja ya kununua moderm mbili kama wote mna tumia windows 7 cha kufanya mmoja wenu anaweza ku unga moderm kwenye...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Dia Membaz, Kama hauna laini ya Voda basi ukiwa Kigamboni hasa maeneo ya Mjimwema hesabu hauna mawasiliano. Netiweki inakatika hovyo hovyo tu kwa zaidi ya mwaka sasa. Nilikuwa natumia Tigo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Intel Vs AMD processor Kati ya Hizo mbili ipi ni bora?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
bandugu kwa yeyote mwenye serial namba za Internet Download Manager naomba aniwekee hapa jamvini hii kitu nimetuma trial kwa mwezi hakika ina supidi ya hali ya juu sasa siku 30 zimeisha ,tafadhali...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Habarini wana JF, Kuna dell laptop Inspiron 6000 kila nikitaka kuweka win XP inaenda hadi sehemu fulani kisha inagoma na kuleta blue screen na maandishi ya bluee "Check memory..." sijayashika...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana TEACH Nimeformat Laptop yangu HP Compaq 6720S ilikuwa na Windows 7 baada ya kuformat imekwama kwenye Expanding windows files (0%) Inaishia kwenye % haiendelei mbele na wala haileti error...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hao Watu waIntel ni Mwisho kabisa katika hii technology ya Computer.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
wana jf naomba maelezo jinsi ya kutengeneza wireless kati ya simu na laptop au kama kuna link ya thread hiyo naomba tafathali Natanguliza shukran
0 Reactions
12 Replies
1K Views
wana jf naomba msaada wenu nimedownload movie wakat nina unzip likatokea folder lina ujumbe Please download this password (txt file) from the following links...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na mazingira yetu ya uswaz nalazimika kuweka kwenye simu yangu mobile traker sotwer!<br /> Juzi tu vibaka wamechana dirisha na kuiba blackberry yangu lakini kwa shingo upande nimenunua...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Wakuu salaam! naomba msaada kuhusu hii sim ya blackberry 8100. ni among earlier versions za blackberry. tatizo linakuja kwamba haikuja na browser configuration japo ina internet...
0 Reactions
2 Replies
926 Views
Wataalam naomba kuuliza nikiwasha desktop yangu inaniambia no boot device,haifunguki tena tatizo lipo wapi naomba msaada
0 Reactions
15 Replies
1K Views
ENJOY !! The best operatingsystem serving the ENJOY !! The best operatingsystem serving the planet !! Mac OSX Snowleopard ! This image comes with absolutely no warranty !! You are using this...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
naombeni msaada jinsi ya kuchakachua E153 HUAWEI MODEM YA TIGO ili itumie SIMCARDS za Zantel au Airtel............please saidieni sina hela ya kununua Modem zote!
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Its full of usanii kila kilichowekwa ni mzahaa yaan joke www.funvirus.peperonity.com
0 Reactions
0 Replies
807 Views
Bro& sister ma fellow technologies help mi to get job I have dip in comp eng but nipo kitaa sina ishu plz help me.
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Last month, nilitoa habari kwamba Nokia N9 might be powered by MeeGo instead of Symbian Anna. Likewise, this gave enthusiasts hope that Nokia will still push the MeeGo platform despite the looming...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
msaada wa kuunlock nokia e72. its a blackberry phone imegoma kufunguka
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Jamani naomba mnisaidie labda nipo mbali na media, nilikuwa na nimejiunga na huduma ya Airtel ya 400MB ambayo huwa naitumia siku zote, ilipofika jana ikaisha leo saa 10 jioni nikajiunga tena kwa...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Msaada waatalam wa computer.Hivi majuzi desktop imegoma ku start kabisa,nilihisi tatizo ni PSU lakini baada ya uchunguzi nilibaina output voltages zote sawa.Nimetrace tatizo down to mobo au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom