Habari za muda huu wanajukwaa, bwana nimefuatilia galaxy note 8 nimefurahisha na specifications zake. Dual camera, big screen size, high ram and other premium features, lakini kinachonipa wasiwasi...
Sokoni kuna antivirus nyingi na kila moja inajinasibu kuwa ni nzuri. Kwa yule mwenye uzoefu na antivirus mbalimbali naomba ushauri nitumie antivirus vipi kwenye laptop yangu?
Kuna mistari inatokea kwenye display (monitor), mistari hiyo inakuwa na rangi ambayo hujaa nusu ya kioo cha monitor Kwa wima (vertical lines).
Nimejaribu google wanasema ni graphic drivers au...
Habari za humu wanaJF
Niende moja kwa moja kwenye mada najua kuna bunifu mbali mbali zimekuwepo na zinaendelea kubuniwa na zinasaidia kiujumla,
Ila hii ya kwangu ni yakipekee na inahitaji tu...
Inaripotiwa kuwa, Maafisa wamevamia na kupekua Ofisi kadhaa za Kampuni ya Kielektroniki ya Vivo kutoka China kufuatia shutuma za utakatishaji Fedha. Mapema mwaka huu, upekuzi wa aina hiyo pia...
Wakuu mwezi uliopita rafiki yangu alikuja kunisabahi kutoka Marekani - Washington, mbali na vitu vingi ameniletea pia zawadi ya IPhone 13 Pro Max, Gb 128.
Kiukweli, mimi sio muumini wa divice za...
Mimi ninapokaa, mita ya maji inasumbua sana. kuna muda inaweza ikawa hutumii maji kabisa lakini mita inaonekana inatembea, sijajua shida ni nini. naomba msaaada nini cha kufanya.
Wajomba na mashangazi habari zenu, nipo hapa kuomba msaada wenu.
Nataka kutuma email zaidi ya elfu kumi kwa nyakati tofauti ndani ya mwaka mmoja nikitumia Gmail, sitakikulipia service ya bulk...
Tuna wasomi wengi sana wa sayansi na uhandisi. Je hakuna namna ya kuchanganya udongo au changarawe na kitu fulani ili kuondoa kusagwa na magurudumu na kutoa vumbi ambalo linaathiri mazingira...
Hellow nina simu spack 8c inakamata 4G kwa voda bila chenga pia nina spack 7 yenyew haikamati 4G japo inasapot 4G happ shida ni nini. Wazee ma lain zote no 4G pamoja na simu. !
Habarini wakubwa,
Napenda kuuliza kuwa ukiwa unamiliki application ya simu mfano hii jamii forums.
Mwanzilishi au muhusika/mmiliki wa app hiyo anapata faida zipi, na kama mapato anapataje...
Nimetumia neno UPDATE kwenye heading sababu wengi ndio tumelizoea, lakini hasa nitazungumzia UPGRADE.
Japokua vyote vinalenga katika kuleta mabadiliko kwenye kifaa chako(hapa nitazungumzia simu...
Habari za wakati huu wakuu, naomba kuuliza Kwa mwenye ufahamu na Swalla hili.
Juzi kati nilikutana na link mtandaoni wanauza simu, computer pamoja na bidhaa nyingine za kieletroniki, nikajaribu...
China's Xiaomi Leads Asian Low-Cost Smartphone Drive
Agence France-Presse, May 12, 2014
inShare1
Xiaomi may be little known outside China, but the fast-growing smartphone maker is...
Naombeni msaada, Nina simu aina ya AQUOS zero 801SH, nadhani Kuna settings nilifanya bila kujua, Sasa hivi nikiwasha data simu inakuwa inajirestart mara Kwa mara, mpaka inaboa. Naomba mwenye ujuzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.