Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu kwema, Nina samsung a20s nimeitumia kama miez 3 sasa nikaona niireset ianze upya tena coz ilikuw na vitu vingi Sasa kimbembe kimekuja baada ya kereset, haisomi laini inaandika emergency...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za siku wakubwa. Naombeni mnishauri nina bajeti ya 450k nichukue simu gani kwenye Brand kati ya Samsung na nyinginezo na brand ipi Samsung ni the Best? NB: Sihitaji iPhone
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Saalam wakuu, Naomba kuelekezwa mahali zinapopatikana Phone holder stands for video recording kwa Dar na range ya bei zake.
0 Reactions
1 Replies
513 Views
Haka ka-simu asha 200 kuna kidude kinadisplay kwa juu kama ume-plug earphone hata hakuna earphones Naomba step za kukitoa pls no MAWASILIANO kabisa.
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Heshima kwenu wakuu. Kuna apps ambazo unaweza kuzitumia zikakuonesha aliyeimba huo Wimbo na jina la Wimbo pia. Sasa, vipi kwa video clip ambayo naiangalia lakini siifahamu nitatumia app gani...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Tsinghua cha Nchini China ikishirikiana na Kituo cha Kupambana na Magonjwa nchimi humo umebainisha virusi hivyo hubadilisha harufu ya binadamu na panya...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Habari wadau, Naomba msaada wenu mnishauri simu ya kununua nikizingatoa zaidi ram, rom, battery. Ushauri wenu please.
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Najua watu wengi tumeutizama mzigo wa squid game unaelewa jinsi ulivyo wa kibabe au Kuna MTU wa kupinga [emoji6]!! Sasa Netflix wamekuja kivinge kabisa ile series Yao ya 𝐒𝐪𝐮𝐢𝐝 𝐆𝐚𝐦𝐞 wameamua...
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Kwa hapa nchini. Au mpaka kuagiza? Naona features&specifications zimenivutia. Screen kubwa 6.8 Battery kubwa 5000 (japo charger watts ndogo) Storage na RAM Muundo wake unavutia. Nn.k Sasa naomba...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tumekuandalia saketi bora ikiwa na sifa zifuatazo. Inatengenezeka kirahisi sana kwani haina mavitu mengi kama zile za mchina. Ina nguvu ya kutosha kama ni 200 watts basi ni kweli kabisa Tunapokea...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu..natafuta housing,keybord ikiwezekana na battey za Laptop aina ya Fujitsu lifebook T5010.Kwa yeyote atakayeweza kunipatia au kama unajua ambapo naweza kupata,natanguliza shukrani.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Najua kuna umuhimu mkubwa sana wa kulinda simu kwa password sio kwa WEZI tu ila kulinda data zangu pia. Ila niwape taarifa wezi wote wa simu kwamba, mkiiba simu yangu hamtapata shida ya kwenda...
0 Reactions
6 Replies
747 Views
Salamu zangu ziwafikie wote walio jaliwa afya njema na pole kwa ndugu zangu wanao pitia wakati mgumu kiafya hasa wenye homa kali na mafua. Niende kwenye mada nisiwachoshe Sana ndugu zangu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakuu naangaika kupata idea ya kuanzisha digital platform ambayo itakuwa msaada kwa wanafunzi wa ngazi zote kuanzia primary mpaka university. Nataka iwe ya tofauti kidogo isifanane na shule...
1 Reactions
28 Replies
2K Views
Wanasayansi wa China wamejisifu ktengeneza super computer ambayo ina akili bandia na uwezo sana na akili ya mwanadamu. Komputer hiyo ina storage na memory ya kutosha. Na wengine mmezoea quad...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wanajamvi, nina TV pamoja na desktop computer, nikiunganisha vifaa hivi kwa kutumia HDMI Cable, nina uwezo wa kutumia TV kama monitor, ila sasa mtihani ni kuwa nahitaji pia vile vile kuona...
0 Reactions
7 Replies
809 Views
Habari, Naitaji kufaham jinsi ya kupata access ya API ya NECTA ili kuweza kuverify index number ya mwanafunzi au utaratibu wowote au mwenye nazo anaweza kushare. Asante!
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Habari, Wadau naomba mwenye elimu ya kuzuia message zisionekane kwenye group maana nina group nyingi sana mpaka za kanisa lakini ni fujo nyingi sana nataka kuzuia popup kama kuna new message ili...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ikitokea umeingia google na kuandika " how to know or how to tell if my computer has been hacked" utapata machapisho mbalimbali zaidi ya milion 35.7 juu ya kile ulichouliza ". hapa Tunajifunza...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
SABC channel package 68.5E ku working well via Satstar Decoder now
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Back
Top Bottom