Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu natanguliza heshima, Naomba kuuliza hii SMK -Link Wireless Presenter Laser Mouse (VP6700) inafanyaje kazi?Nimeambiwa kuna zinazofanya unakuwa unafanya presentation kwa kupitia kwenye laptop...
0 Reactions
0 Replies
933 Views
WanaJF heshima zenu wa kuu! Maana nyie ndo kama bunge la jamhuri ya tanganyika. Nahitaji kusikiliza BBC Swahili live online, nifanyaje? Naomba msaada please.
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Nimegundua hivi karibuni wadau sina limits tena za kusubiri wikinndio ni recharge Moderm yangu. Ingawa sipati zile 2G kama mwanzo, ila sijaona shida kwenye matumizi, inachukua karibu wiki kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
salaam kwenu ndugu zangu natumai jumapili ya leo mpo vizuri ki-afya kama ndivyo basi tunabaswa kushukuru na kwa wale ambao wamepatwa na mtihani wowote pia nawaombea m-mungu aweke wapesi. baada ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua kuwa kuna simu za nokia original za double line na ni bei gani?
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Windows 7 is the perfect OS to run on a Netbook but how do you install it without a CD drive? Use a USB flash drive in place of the DVD. In this article I will show you how to create a bootable...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wana JF.Nilinunua laptop Dell inspiron 1545 miaka 2 iliyopita.Toka ikiwa mpya mpaka sasa uwezo battery kutunza charge ni mdogo sana si zaidi ya dk 30 toka umeme unapokatika.Je hii ni...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
...wakuu kuna external ya 1TB,na sio portable,yenyewe inatumia umeme,but jana nilidondosha bahati mbaya then sehemu ya kuchomekea USB wire ikang'oka so siwezi tena kuchomeka USB wire but...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wenu. Radio za gari zangu (nadhani gari nyingi za kutoka Japan) zinasearch hadi 90 peke yake. Nini nifanye nipate radio zenye frequency zaidi ya 90?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Nina kazi yangu nimeiweka lock. Sasa kila ninapofungua inanidai pw. Nitaitoa vipi?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wa "softwire" itakayo iwezesha pc yangu kutuma sms. pili naombeni softwire ya kuweza ku "locate" simu ilipo! Nataanguliza shukrani! ​
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Nimerudi tena wanajamvi, nime install Award keyloger pro Trial Version kuna mwenye key ili ni activate ?? natanguliza shukrani
0 Reactions
0 Replies
706 Views
kwa wenye kujua naweza kuipata wapi software rahisi kutunzia hesabu kwa wanachama wasiopungua 1,000?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji kubadili windows xp to window 7 home basic, nina soft ware ya w 7 hb. Naomba mwongozo sina utaalam huo. Natanguliza shukrani zangu kwenu Wana JF
0 Reactions
1 Replies
968 Views
Habari wakuu. Jamaa yangu ana mpango wa kuanzisha FM radio mjini Dar (tayari ana leseni na frequency). Anatarajia kuunganisha matangazo toka Dar kwenda kwenye vituo vya kurusha matangazo katika...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau nina Dell Inspiron ambayo inasoma Dvd peke yake. Naweza tatua hili tatizo? Au inahitaji ninunue Cd-rom mpya?
0 Reactions
2 Replies
873 Views
I'm sure you are familiar with the traditional way to kill or end a process in Windows using Task Manager. This method is effective but not nearly as fun as killing a process in Command Prompt...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF wenzangu! Kutokana na tatizo hili la poor 3g signals kusumbua wengi,nimeamua kuandika kwa mara ya 3 njia nyingine ya kuongeza signals za 3g endapo utakuwa mbali na mjini ama...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
How would you like to change the logon screen background in Windows 7 so as to give your Windows a customized look and feel? With a small tweak it is possible to customize the Windows 7 logon...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu naombeni mnisaidie kitu kimoja nataka nitumie PC yangu kama wireless Internet Transmitter na natumia modem ya kawaida tu ya Airtel nifanyeje?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom