Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Washirika hamjambo the greatthinkers? Natafuta software ya autodesk autoCAD electrical compatible na win7 64-bit. Yeyote anaweza kunisaidia jinsi ya kuipata.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari za kazi wakuu!! naomba msaada jinsi gani naweza kudownload google earth toka kwenye internet na kuiinstall kwenye laptop natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
2 Replies
2K Views
hello guys, nimekuwa ni kitumia hii ping utility almost for a long time ila my question is how do i calculate RTT?(round trip time) and what does TTL mean in ping?why do these TTL differ ukiwa...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Sasa hakuna kubanduka kwa kiti ukianza kuangalia luninga Source kwa habari zaidi
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nauliza movies za kiswahili hawajaanza kuupload? wapi naweza download kama movie nyingine za kizungu/kichina?
0 Reactions
3 Replies
23K Views
Wakuu, Nimetengeneza blog ila tatizo kila nikiiangalia naiona kama ipo local, Naomba maoni na mawazo yenu nifanyaje ili blog iweze kuwa na visitors wengi per day na iwe na muonekano mzuri. Blog...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu nataka kununua RAM ya 4GB na hard disk ya 300GB. Je, hivi vyote kwa dar nitapata wapi na kwa how much?
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Plz kuna jamaa yangu yupo mwanza anatafuta used computer inayo range laki 3 hadi laki 3.5...specification kama ni Desktop: Hdd 120GB au above,Monitor Hp 17". Kama ni laptop iwe ni Hp/dell hata...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Natumai mpo poa wote! Nnatatizo 1 ambalo huwa nnapotumia mozila firefox kuingia ktk account yangu ya facebook inafunguka vizuri bila shida, sasa tatizo linatokea nnapokuwa nnachat na marafiki...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
khabar za sasa wana jf, pc yangu imepoteza vga,yan no games,video zinashakeshake kwel,ni DELL OPTIPLEX 380.natanguliza shukran za dhati.
0 Reactions
1 Replies
923 Views
wakuu naombeni msaada wenu.. tutapoozana kindugu
0 Reactions
0 Replies
800 Views
Kwa yoyote mwenye version yoyote ya Microsoft Flight Simulator au software nyingine ya aina hii naomba msaada please... Natanguliza shukrani!
0 Reactions
0 Replies
960 Views
habari wana jamii? Tafadhali mwenye software ya canon photocopy iR2016 anisaidie wandugu. Mimi nipo mtwara na nina hii machine nashindwa kuitumia. natanguliza shukrani zangu
0 Reactions
5 Replies
6K Views
msaada wa activation keys w7
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nilidondosha laptop yangu Dell Inspiron 1525, ikaharibika kioo nikanunulia kingine ila kila mara natakiwa kuadjust mwanga badala ya yenyewe kutoa mwanga wa kutosha hata ukichomeka chaja kwenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Warning LAPTOP CAN COST YOU LIFE This is very crucial READ IT ALL A well-known family lost their 25 year old son in a fire at home. This is what happened: He graduated with MBA from...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
wakuu na wawezeshaji wote wa JF poleni na kazi na nawatakia kila la kheri na kazi . nina wazo jipya sina uhakika kama litakuwa jipya kwa kila mtu , lakini nitajaribu kulielezea kwa kadri...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Wadau nimejaribu ku download hii software lakini mwisho wa siku inakuja iliyo compatible na windows xp ambayo hai enable "Download this video". Nielekezeni cha kufanya tafadhali
0 Reactions
9 Replies
1K Views
jamani naomba mnisaidie wa jf,hard drive- external yangu inagoma kusoma kwenye komputa,nmejaribu kubadilisha komputa mbalimbali pia imegoma,kuna mtu amenambia kwamba ninaweza kuilicova sasa naomba...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
I need help on how to install & use huawei modem (vodacom & zantel) in ubuntu... Natanguliza shukrani!
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom