Cooking Oil Used For Plane Fuel
By Orlando Parfitt
Dutch airline KLM have dreamt up an ingenious way to cut their carbon emissions: they will power their flights with biofuel made from...
Wadau nimeshindwa ku-activate Bluetooth kwenye laptop yangu ili niweze kuhamisha vitu kama music kutoka kwenye computer kwenda kwenye simu "and vice-versa".
Naomba msaada
salam ndugu zangu naombeni msaada ni chuo gani kizuri kusoma cisco. hapa Tanzania. ndio nataka kuanza kusoma na what are the steps of joining and payments. thanks in advance
Wataalam wa haya mambo naomba mtujuze,which is better kati ya ipad na playbook.Hii playbook imekuwa launched na blackberry na wanajitangaza kwamba ni bora kuliko ipad.Mnasemaje wataalam...
LAPTOP YANGU IMEPATA MSHKERI.
NIKIIZIMA INAZMIKA VIZURI lakini NIKIIWASHA HAIWAKI MPAKA NIWEKE OS CD NDO INABOOT.
HAPO NDUGU WADAU TATIZO NI NINI & NINI UFUMBUZI WAKE
wadau nina photoshop cs4 ambayo haitaji key or activation tatizo nimei zip lakini bado system inasema file to large nataka kui upload ili wadau wapenda graphic design waitumie, nimesahau wapi...
Kamanda Mwema Polisi na viongozi husika kwa karne hii ya sayasni na teknolojia Polisi jamii sio kuhishia kutoa number za ma RPC tu.
Tunataka tupate umber za wakuu wa vituo tulivyo karibu...
Wandugu poleni na mikikimikiki ya mchana ya kujipatia mkate wa siku.Naombeni mnisaidie ni jinsi gani naweza kununua software mbalimbali kutoka kwenye NOKIA OVI STORE? Tafadhali naombeni msaada wenu.
WANA JF, HABARI.
Ninamiliki modem ya vodafone zte3570. na imichakachuliwa. LAKINI CHA AJABU NI KWAMBA...
1. Nikiweka laini ya mtandao mwingine inawasha taa ya kijani(badala ya blue)
2.Niki...
Jamani sikufahamu hii nikajikuta nimegundua bila kujua,inawezekana we unafahamu ila kwangu ni mara ya kwanza kuona,naomba jaribu kwenye computer yako,fungua browser ya google chrome,halafu shift...
Website ya mahacker wapya ambao walihack website za FBI, CIA na US Senate, sasa hivi ipo down, na hivi karibuni wamehack website ya law enforcement ya Arizona.
Wamarekani wanakaribia kupitisha...
Twitter users and the courts go to war over footballer's injunction
Social networks accused of making 'an ass of the law' as injunction spirals into online battle over freedom of...
Hi guys,
I'm working with a certain company offering outsource services for projects requiring programming skills.
Any one interested and want to know more about this, please drop me an email /...
Jamani wadau nisaidieni, nahitaji car security system zile ambazo kuna hidden switch kama mtu hajui ilipo hawezi kuwasha gari pamoja na alarm yake, zinapatikana wapi hapa Dar na kwa sh ngapi...
Naomba msaada kujua ubora wa hizi laptop zinazouzwa kwenye vodashops hapa nchini, nina mpango wa kununua lakini mimi si mtaalamu wa kujua ubora wa vifaa hivi.
10.Alois Irlmaier
Irlmaier was a simple German man who, in the 1950s, made predictions of a third world war. This is a small sampling of what he claimed the third world war would look like...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.