Habari zenu wana technology,ni hivi nataka ku start biashara za mitandaoni,namaanisha nataka kuanza blogs zangu zitakazonipa mahela,lakini bado sijajua ni kompyuta gani latest(pentium)nzuri na...
Niko Dar naomba msaada mwenye hiyo program anisaidie nahitaji kwa ajili research yangu. I need any version but i will be more grad for latest one. We can negociate for payment contribution.
BarCampDar 77 |
We have watched vibrant tech events take place elsewhere in East Africa and wondered when it would happen in Tanzania. The wait is over and weve finally got our act together.
A...
Wadau mu hali gani?
Naombeni msaada nimejaribu kutumia live cd ya ubuntu version 9.04 kwenye laptop hp pavilion dv5-2155dx yenye specification hizi
processor intel i3 ram 4 gb graphics by intel...
MH!!
ok Juzi nilikuwa na mkutano jengo moja hapa mjini ni refu lina kera floor nyingi....hivi nikawa nimechelewa sababu ya mafoleni ghafla nikakumbuka Trick moja hivi ya kufanya ili nikipanda...
Nilikuwa natumia laptop ''TOSHIBA SATELLITE'' ila kosa nililokuwa nafanya nilikuwa naacha kitandani ikiwa sijazima,ingawa siyo kila mara nikiacha.Siku moja ikazimika na haikuwa tena na ikawa...
je wajua kua sasa kuna top level domain takriban 22? Eg .com, .net, .org na domain za nchi takriban 250 eg, .tz, .in, .uk
kutokana na matumizi ya internet kuongezeka new domain style...
Wana JF mambo vip? Hivi karibuni nilikuwa napata channel hizi bila kulipia MNET,CSN,etv,etv africa,MNET ACTION VUZU MNET STAR BLITZ MZANZI na KOWEE Zote za sauz kwa kutumia risiva ya HD ila tatizo...
Wakuu, naomba msaada wa namna ya kufuta messages zinazokuwa ktk folder la Chat. Yaani unapo-chat messages hiziingii ktk folder la kawaida la sms. Bali zinakuwa ndani ya folder la chat. Sasa...
True to its word, Mozilla is wasting no time releasing new iterations of its popular Firefox browser.
The global, nonprofit organization announced today (June 21, 2011) that it has released the...
Hellow JF!!
Once again ni vizuri kujua kuliko kuto jua!!!
For sure hii ishu imeni cost wakati najaribu kutengeneza nika delete drive c yote!!! loh
imenibidi nipige window chini na kuanza...
STUXNET: A COMPUTER WORM ENGINEERED TO DESTROY INDUSTRIES. THE CASE OF IRAN'S NUCLEAR PROGAM SETBACK21/06/2011
0 Comment
Stuxnet is the first Microsoft Windows computer worm made entirely out...
Wakuu nime install internet download manager605 lakini imegoma kufanya kazi hadi niwe na key zake. Msaada naomba kwa yeyote aliye nazo aziweke hapa. Natanguliza shukrani na heshima.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.