QUESTION:
"Where do the characters go when I use my backspace or delete
them on my PC?"
ANSWER:
The characters go to different places, depending on whom you ask:
The Catholic Church's approach...
Wana Jf heshima mbele. Naomba msaada wa jinsi ya kupata ITV kwenye king'amuzi cha star times toleo la kwanza. Kwa toleo jipya inawezekana kwa kuingiza manual search kwa kutumia frequency 530...
Tanzania is one of three East African countries where scientists fear trees and shrubs used in malaria treatment may disappear owing to widespread deforestation and over-exploitation for medical...
Natumia line ya airtel na simu ni nokia X6. Ila nina tatizo na spidi ya kinyonga nikiwa nabrowse au kudownload kwenye net. Kama kuna yeyote mwenye uzoefu na hili anisaidie tafadhali...
Habari wana Jf, wakuu leo nimekutana na kimeo, naomba kama kuna mtu mwenye idea na hii error, Moderm inakubali kuwa installed but ninapokuja kufungua ili nianze kubrowse inaniletea ka error...
Fellow Members,
Three days ago I was being pestered with SMS from Voda saying that my number was choosen for the 3mil draw and that I had to text my name.Charge 550/=!
I decided to send the...
Kuna watu wanapita kwenye taasisi kutoa elimu kuhusu matumizi ya simu na madhara ya kansa. Jamani kuna mwenye ujuzi na hili, je kuna watu wanafahamu hi move? Jamaa wameacha na za sim Victo Lema...
Naombeni msaada wakuu. Nimeibiwa simu yangu aina ya SAMSUNG GT B3410. Nina risiti yake na warranty. Je, kuna uwezekano wa kui-track iwapo hewani? Thanks.
Ndugu wataalam,mimi natumia laptop dell latitude d600,laptop yangu hii usb port zake zote hazifanyi kazi,inashindwa kudetect usb device.Tatizo lilianza pale nimlipo connect motorola l6 kwenye port...
Hp Probook 4510s with windows 7
i have tried every way can think of & i can not find he webcam. YES it does have a webcam but i cant find a way to access it. Please help
nimenunu moderm ya tigo, napata 3G signals, lakini nashanga kwa nini uploading & downloading speed sio nzuri?
yani speed huwa inavary 80kbps-378kbps. Please help me, its urgence!
Tokea jana providers wanaotumia seacom hasa hasa internet ya Airtel wako chali, almost hamna kitu, leo wamenitumia meseji kuwa link imesharekebishwa, lakini so far bado hakuna kitu.
Mlio karibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.