Ni muda sasa naamini hapa Jukwaani ni kisima na msaada tosha kwa mambo mbalimbali. Wadau, nilinunua redio ya SONY model no. HCD-GNZ55D miaka 2 iliyopita. Redio hi imepata tatizo la power. Umeme...
wataalam wa photoshop.
Kuna image nataka nizichakachue ili header ya webpage nayotengeza iwe tofauti
Image yenyewe nayotaka kuchakachua ni hii hapa
Hii ni image ya header kwenye...
UKIONGEZA SALIO UTAWEZA KUPATA
Dakika za bure;message 100 na MB200
kuangalia dk bonyeza *102*05# ok;
kuangalia message bonyeza *102*15#;
kuangalia salio la data bonyeza *102*06# ok.
Offer...
Salama wakuu? Tatizo lang ni moja tu,nahitaji kuinstall softwares za windows kwenye linux. Nilishauriwa nitumie ki2 inaitwa crossover au wine lakn naona hazikubali.
Jamani naomba msaada kama kuna namna nyingine ya kui play you tube mara ninapoifungua huwa inaplay kidogo kisha inaonekana ikiendelea kuserch kuja ikaplay bila kusitasita ni hadi ifike mwisho sasa...
Ninatafuta graphic designer wa kujitegemea ambaye anaweza ku design signage, brochures(A4), posters (A2), Fliers (A5), na T-shirt. Nitumie ujumbe kuhusu gharama zako.
Heshima mbele wakuu, hii kitu sijaisajili,na muda a majaribio kwishnei; tafadhali naomba key za kuniwezesha kusajili hii kitu ili niweze kuendeleea na kazi! MS OFFICE 2007!
Shukrani mbele.
Kwa anayejua trend nzma ya cisco ansaidie. Kwanza nahtaj kujua gharama ya pepa zao, pili ni lazma kuwa na review center .? Tatu mitihan yao huwa inafanyika kpnd gan cha mwaka, na mwisho ni kituo...
Mimi nipo Kondoa natumia moderm ya zain (USB stick) hatupati mtandao wa internet kama miji mingine. ninapokwenda Dodoma au Arusha napata 3G rangi ya bluu.
Tafadhari mwenye maarifa ya kutosha juu ya uchakachuaje wa modem ya Voda aina ya K3565 -Z, nimejaribu kuchakachua lakini kuna sehemu imenishinda, nilifanikiwa kuweka dashboard ya JOIN AIR na...
nimeshamaliza kuandika progam yangu, ila nataka niiweke kwenye cd ili watu wengine waweze kuinstall, nifenyeje? from the start to stop, please give the algolithim of that problem, thanks for your...
Mambo vp wakuu? naomba msaada wenu computer yangu haitunzi screen saver wala wallpaper kulikoni? nifanjeje, inawezekana ni coz of WINDOWS 7? please, help me.
naitaji ushauri wana JF,naitaji genuine antivirus that can save 100 users with minimum price
na je hizi kaspesky au norton zinazouzwa elfu 35,000 for single user na 60 kwa 3 users ni za kweli...
Sina hakika kama hapa ni mahala sahihi kwa hii post yangu,
lakini issue ni kwamba hivi karibuni nilihisi kupungukiwa pesa kwenye simu yangu, nikashangaa shangaa nikaacha kama ilivyo.
Sasa leo...
Wakuu naomba kujua kama hizo modem za tiGO zina chakachulika ili ni wanunulie vijana wangu wajimwage na Airtel,
wamezishusha bei hadi TSH 30,000.
jinsi ya kuchakachua.
Wakuu,
Kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.