Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu hili jambo linaniumiza kichwa sana kipi ni sahihi kama kichwa cha habari kinavyojieleza nataka ninunue ps4 slim jailbreak lakini jamaa yangu ameniasa niachane nayo. Naomba mnipe faida na...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana JF-Science Forum Nina tatizo na jinsi ya kum-tag mtu katika post au ku-link web au kitu katika post, je vitu hivyo viwili naweza kuvifanya vipi humu kwenye JF?.. Kama kuna uzi ambao...
0 Reactions
27 Replies
10K Views
Kuna tatizo kidogo hapa Kuna dada kasahau pasword ya icloud yake,So hawezi kudownload chochote Je, inawezekana kutoka. Anatumia iphone 6 plus
0 Reactions
7 Replies
908 Views
Jinsi ya kutengeneza virusi hatarishi Tunaishi kwenye ulimwengu wa Teknolojia ambapo wengi wetu tunatumia simu au kompyuta kufanya mambo mbalimbali ulimwenguni. Najua umeshawahi kusikia kuhusu...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Core i5 4310u Intel HD Graphics 4GB ram ddr3l 250GB HDD Battery 3hrs/above 0763976109
1 Reactions
3 Replies
679 Views
Tafadhalini sana waungwana mimi account yangu imefungiwa na ninapo jaribu ku rest password wananidirect kwenye email isiyo yangu so nifanyaje hapo
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Msaada wakuu simu yangu nikituma picha thru WhatsApp zinakua inverted (upside down,rotated )na nikitaka kuweka profile picture on WhatsApp thru gallery nakuta photo ni chache tofauti tofauti na...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Wadau habari za muda huu, Nina frequency za radio ambayo inapatikana almost mikoa 3 Sasa, naomba kusaidiwa yafuatayo: 1) Ni namna gani nitaunganisha Radio na YouTube channel ili vipindi viwe...
2 Reactions
1 Replies
436 Views
Hi Guys! Katika kila galaxy kuna super massive Black Hole at the centre. Black Hole sio nyeusi kivilee kama jina linavyotaja. Black Hole ina emitt radiations zinazoitwa Hawking radiation. Sifa...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Tatizo la Pc kustuck ghafla na kutoa mlio flan kama jenereta uku picha ikiganda ni mpaka uzime uchomoe waya wa cable itulie kwa dakika 10-30,ndio uwashe na ukiwasha ukiangalia movie kwa dakika 35...
0 Reactions
6 Replies
646 Views
Habari za siku ndugu zangu wa JF natumai mko salama na wazima wa afya kabisa Naombeni ushauri wa juu ya aina ya simu ambayo inaweza kufaa kusogezea siku hasa kwa wadau wa mambo haya ya teknolojia...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Wakuu nitumie App gani inayoweza kutoa background ya picha wakati wa kupiga picha?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu kwa mwenye uwezo na tatizo nililotaja hapo anisaidie simu yangu ni ifinix note 8i imegoma gafla kutumia kidole Hata mfumo wa kuiset umepotea namanisha hakuna sehem palipoandikwa fingerprint...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habari Wadau hope wote mpo poa Sasa wakuu kwa sisi wengine internet no very important na mitandao ya simu nu zengwe fupya mpini yaand unaenda Huuliza unlimited internet unaambiwa 50,000 lakoni...
5 Reactions
91 Replies
9K Views
Tafadhari wanaforum Naomba msaada wa kujua tatizo hili kwenye Printer yangu nalitatua vipi [emoji120] Natanguliza shukurani MAINTENANCE BOX EPSON M2140 SOLUTION
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habar ya wakat huu wana JF? Mimi ni kijana mjasiriamali, elimu yangu ni juu (kibongo bongo) ngaz ya shahada (degree). Tang nikiwa mdgo nimekuwa na hamasa/kuvutiwa xana na mambo ya kisanaa hasa...
0 Reactions
2 Replies
946 Views
Tunaburudika tukiwa mbali na nyumbani, tunapuuzilia mbali kutumia simu ya rununu kwa muda na tunapoangalia mfukoni, begi au mahali tulipoiweka, haipo tena. Wezi wanaweza kuwa na ujuzi mkubwa wa...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari za siku wakuu,leo kuna simple tutorial yakuweza stabilize video ulizo record kwa simu yako kwa njia rahisi sana,na kupitia app common sana. Video stabilization ni nini? Ni algorithm ndani...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Wataalamu naombeni msaada, app ya Whatsapp haitaki kuclear data, Ina mb 400 nikiclear data zinabaki vilevile, nimejaribu kuifuta na kuidownload upya lakin bado shida iko pale pale.
0 Reactions
5 Replies
791 Views
Hello habari zenu,kuna simu yangu imeharibika haiwaki kabisa nahitaji kuzipata picha na documents zangu, naomba mnijuze njia ipi nitumie nizirudishe maana sikusave kwenye Google Drive.
1 Reactions
7 Replies
595 Views
Back
Top Bottom