Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu mpo Kuna shida uku wadau Sisi wengine kubana matumizi ni pambo la lazima sasa kuna shida huku Kuna ofisi mbili zinajitegemea na zipo mbali mbali ila tunashare internet ya ZUKU. Main...
0 Reactions
4 Replies
715 Views
Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtandao wa kijamii wa twitter ulisema account fake/spam au bots ni chini ya 5% ya watumiaji wa mtandao huo. Suala ambalo Elon Musk ameonekana kukataa akisema kuwa bots ni zaidi ya 5% ambapo...
0 Reactions
0 Replies
529 Views
Futa History ya Google search kwenye iphone na Android Unahitaji kuondoa histori ya vitu ulivyovitafuta kwenye google search kupitia , chrome , Mozilla , Safari nk ili watu wasijue ulikua...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Je,unafanya blogging seriously,njoo nikupe trick Trick naiuza lakini
1 Reactions
4 Replies
595 Views
Tetesi toka kwa Ming-Chi Kuo kuanzia 2023 apple ataanza kutumia USB type C. Inawezekana ikawa ni shinikizo toka jumuiya ya Ulaya ikitaka makampuni yote ya simu yatumie standard moja ya kucharge.
5 Reactions
19 Replies
3K Views
[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️[emoji298]️ [emoji432][emoji432][emoji432][emoji432] Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au...
2 Reactions
13 Replies
13K Views
Waungwana ukiondoa OS zake ipi ni bora kuzidi nyingine
1 Reactions
14 Replies
875 Views
Nina shida ya kujifunza kuunda application Mtaalamu naomba unifundishe kama kuna charge utaniambia kiasi gani then tupange kama app ya djmwanga
0 Reactions
1 Replies
749 Views
Sijui ilitakiwa iitwe 'smart phone graphics designer' au mobile phone (km limekaa kizaman hv [emoji2]) anyways kmsing tittle imeeleweka au sio?. [emoji106] Ok, hii thread itahusu na ni makhsus...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Imenipa shida kidogo kila ninapofungua file au kudownlod file lolote inaniambia niweke iphone ID nimeshindwa cha kufanya
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Uzi umejielezea kwenye Title!!. Mchango wa mdau; brAin cRacker Mkuu mtu ukisipoweka lock simu ni rahisi kuona password akifungua chrome>setting>basics>password anaona login details zote ulizo...
2 Reactions
12 Replies
984 Views
Wakuu salamu, Nina Facebook page yangu inaitwa "Mkatoliki Imara"..ni page iliyokuwa ina post content za dini tuuu. Kuna jamaa waliidukuwa na wakaniondoa kuwa admin,ila details zangu zote bado...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa mwaka wa tatu program ya ufazili wa kujifunza Cloud infrastructure na android development kupitia pluralsight,Google na Andela Deadline ya kuingia 31-05-2021 Tusipitwe na fursa hii muhimu...
2 Reactions
1 Replies
638 Views
Mwanzoni Kabla ya iphone ilikua na majina mengi ilianzia kwenye iPad , Kisha telepod, mobi alafu tripod ndipo wakamua kuita Iphone. Iphone ni Aina moja wapo ya smartphone iliyotengenezwa na...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kufahamu jinsi ya kuweka matangazo kama YouTube unaplay kitu yanakuwa ubavu wa kushoto na chini
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari wakuu! Naombeni msaada kidogo nimekwama hapa natumia python programming language. Nimeshindwa kuzielewa kabisa na jinsi ya kuzitumia. Bado najifunza ndio nipo kwenye object-oriented...
0 Reactions
1 Replies
412 Views
Habarini wanduguuu!! Natafuta maduka ambayo naweza kupata display original ya Nokia G10 nimeuliza hapa kariakoo aggrey Street zipo lkn najua ni makanjanja Tu.. Sijajua Kwa mitaa ya posta ni...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jamani nimrkutana na changamoto Natumia Windows 7 ultimate 64bit.haina Antivirus.Juzi hapa wameniingilia Kibaya walichonifanyia Wameingia Kwenye Software Zanguu zote ambazo hazikuwa kwenye Zip...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nawasalimu wakubwa na wadogo zangu, mimi na ujanja wangu wote wa simu kompyuta na mitandao ila nashindwa kuweka picha zangu gugo. Naamini watu tukihitaji picha za watu furani maarufu au kutaka...
0 Reactions
23 Replies
16K Views
Back
Top Bottom