Twitter Account inauzwa ina 80,456 Followers kwa TSh. 1,300,000 tuu! Maongezi yapo wale watu wa Blogs na wanaopenda Twitter Account zenye watu wengi tuwasiliane....
Habari wakuu,
Fundi alinifungia Dish la Azam nikawa napata Channels kama kawaida tatizo likawa ukiwa unaangalia Channels za HD inatokea kama Scratches hivi mara kwa mara ingawa picha inakuwa...
Habari za muda huu naomba kuuliza kuhusu any desk je ukiwa unarusha au kurushiwa kitu unakatwa MB kama vile tu ukiwa unadownload mfano ukirushiwa nyimbo ya MB 10 utakatwa MB hzo hzo au utakuwa...
Natumia simu (sio simu ya Android) aina ya Oking 1712. Nimesahau password niliyokuwa naitumia. Naombeni msaada wenu wa ku-unlock bila kui-flash.
Inawezeka?
Wakuu kuna hizi mashine ya kufulia nguo nimewahi ziona Kariakoo bei ziko around 400k mpka 500k.
Kwa waliowahi zitumia vipi ubora wake? Matumizi yake ya umeme yakoje? Naweza kununua kwa kuanzia au...
Habari, zenu wana jf nulikuwa na kifaa cha anycast m3 plus nilikuwa natumia kwenye tv yangu ya Sunda inch 24 nilitumia kwa mda mfupi kama wiki mbili hivi ikaanza shida ya kubadilisha kibatani...
Wakuu, simu tajwa hapo juu inatatizo la kutoleta majina pindi nitumiwapo sms, yaani majina nimesave lakin mtu akinitumia sms jina haliji inakuja namba tu.
Msaada kwenye tuta wakuu.
Rejea kichwa cha habari,
Ningependa kujua kama nina mini supermarket zangu na nataka kuziwekea mfumo huo, ili Loyal customer wangu wawe wana top up cards na kuswipe tu badala ya kutembea na cash...
Jamani ndugu zangu ..
Nimewakutanisha hapa ili tujadili kitu kimoja ambacho nahisi nahitaji msaada wenu wa hali na mali...
Mimi ni kijana ambaye nimejikita katika kujenga brand yangu kupitia...
Wakuu habari za leo.
Nimeweza kupata mahali CorelDRAW Graphics Suite 2020 v22.2.0.532 na CorelDRAW Technical Suite 2020 v22.1.0.517. Installation inakubali kabisa kwa kutumia serial keys...
Wakuu hii mashine inaitwaje na matumizi yake exactly ni yapi hasa migodini natanguliza shukrani
Mods naomba mrekebisehe kichwa hapo juu kisomeke INAITWAJE.
Wale wanangu wa Netflix nakuletea mzigo huu hapa.
Pata Netflix iliyofanyiwa mambo (Cracked) ambayo hutahitajika kulipia ni Bando lako tuu.
Price: Tsh. 5,000/=
Call/Sms: 0689 292 800
WhatsApp...
Habari wadau, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada.
IP Adress (Internet Protocol) ni anwani ambayo device mfano simu au computer inakua nayo pindi inapokua imeunganishwa na intaneti hivyo mtu...
Wakuu salamu.
Naomba kuuliza ni software zipi zinatumika kutengeneza hizi banners kwenye picha.
Yaani picha inakuwa na maandishi pamoja na logo ya taasisi husika. Software zipi ndio hutumika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.