Jamani nahitaji projector nataka kuonyesha mpira lakin sina uzoefu wa hiki kifaa naombeni elimu kuhusu brand bora,size,nasikia zinasetiwa kwa masaa maalumu hili likoje,pamoja na bei zake...
Wadau naomba kujua kama naweza kui update simu tajwa toka android os 9 to os 10, kama inawezekana nichukue hatua zipi kufanikisha zoezi zima.
Natanguliza shukrani.
Wakuu natafuta Android TV box kama unayo au unajua mahali inauzwa
SIFA
Iwe na 4k
HDMI out
Optical/ Toslink ( Muhimu sana)
Issuport Dolby na DTS sound
Issuport MKV, MP4, AVI na common codec
Iwe na...
Wadau naomba mwenye kufahamu App inayoweza kunirejeshea picha za zamani nilizopoteza kwa simu nilizotumia zamani zikapotea, ila email nayotumia ni ileile kwa simu zote zilizopotea.
Habari wadau!
Nilikuwa nataka kujua je board ya wahandisi au engineering (ERB) inaumdwa na watu wangapi na majina yao kama yapo..!
Je yule mzee Dokta wa Civil engineering pale Kilimani mwenye...
Just In! Nimepokea feature hii ya Spaces muda kidogo uliopita. Kupitia Spaces kuna Host, Listener's, na mambo mengine mengi zaidi.
Twitter Spaces ni mfumo wa kuwasiliana kwa kutumia sauti likely...
Habari wana JF,
Nina programm Application ya Kustream Live Television channels kama Ilivyokua kwa Mobdro au LiveNetTv .
Last Year nilitengeneza Kwa jina la Fsociety ila ninahitaji idea ya Jina...
Yaani kwa kifupi kichwa kinaniuma hapa
Kuhusu hii app..inafanyaje kazi
Inakuaje mpaka nyimbo karibia nusu ya zote..zinajulikana katika hii app.
Je, ni msanii anaweka?
Je, ni bloggers
Au
Ni...
Jamani watanzania za saa hizi
Ninaomba mnieleweshe kwamba
Je kuna njia ambayo mmiliki wa website anaweza kubadili MB za wanaotembelea website na kuzibadilisha kuwa fedha??
Na kama ipo ni njia...
Wadau,Matumizi ya simu na maujajanja yake yametofautiana sana yaani wengine wako Form Six wengine Diploma na wengine PhD, hasa linapokuja suala la Smart phone.
Mfano LIVE FOOTBALL TV kwangu ni...
[emoji599] This is a big one [emoji599]
We are very proud to announce the official release of the Appwrite SDK for Dart.
Now any Flutter/Dart developers can use Appwrite as an end-to-end...
Wadau msaada nitajieni app nzuri ya music ambayo ukiidownload inaplay music ya audio vizuri na hata video music sometimes inaichange kusikika kwny audio automatically nilikuwanayo niliifuta...
Kama mada inavyojieleza siku za hiz karibun mobdro imefungiwa, msaada kama kuna app nyingine inayoweza kureplace mobdro hada kwenye sports live streaming,na iwe pia compatible na android tv os...
Habari za asubuhi everybody ! Nauliza wale wanzangu namie wapenda habari. Nimeamka saubuhi twitter haifunguki je ninyie ipo hivyo kwenu!?
Na nini shida?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.