Habari za mda huu waungwana!!!!
Natumia Samsung grand prime plus, ambayo storage yake ni ndogo sna kwa hivyo niliamua kununua Sd card au memory card kama wengi wetu tulivyo zoea kuiita. Kila kitu...
Habari wakuu. Shida yangu ni kujua kama kuna uwezekano wa kuhamisha contancts zako kwenye e-mail yako ili uzipate endapo simu itapotea au kupata matatizo. Akhsanten
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu kuna Tekno W2 naomba msaada wa kutoa Google Verify. Nimetumia njia za zamani imeshindikana naombeni maujanja mapya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nna PC imezima na window haiingii kila niki enable legacy nikirestart inarud kwenye disable hvyo haitoi option ya kupga window kwa flash au DVD msaada.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wana jamii forum kuna uzi niliwahi kusoma hapa kuwa kama simu yako ina internal storage ndogo unaweza kununua sd card or memory card original yenye gb kuanzia kumi na kuendelea na...
Nilikuwa narudisha window 7 kutoka window 10 nikajikuta nafuta kila kitu. Nimepata program ya Disk drill lakini wamenipa limitation ya GB za kurudisha zilizobaki inabidi nilipie. Msaada wenu wana JF.
FRANKFURT- German drug maker Bayer has contained a cyber attack it believes was hatched in China, the company said, highlighting the risk of data theft and disruption faced by big business.
Bayer...
Ms office inakataa ku exctract kwenye windows 10 inahitaji more volume ingawaje Kuna more than 200GB free,naombeni msaada. Nilidownload kwenye link ya bitdownload.ir
Sent using Jamii Forums...
Wadau mwenye softwere ya window ten ikiwa highly compresed kuanzia mb 100 kushuka chini anipe link au anitumie nitampa hela ya maji
Sent using boeing 737 max8
Hii utatumia kama trial na muda ukiisha weka acc ingine na mzigo utapiga kaz kama kawaida
Download ExpressVPN
Hii iko powa sana
TAHADHARI
baadhi ya vifaa vinasumbua kwa toleo hili, watumiaji...
Nillikuwa nafanya shughuli zangu kwenye pc yangu kwa bahati mbaya nimeiformat partition yenye taarifa zangu binafsi Gb 150 naomba msaada wa kurecover naombeni msaada jinsi gani niweze kupata japo...
Jamani nimeibiwa simu yangu ni samsung nataka kuitafta lakini sina imei number nilienda police wakasema mpaka nilete imei lakini box la simu nilishapoteza nimejaribu kutafta imei kupitia google...
NATAFUTA DIAGNOSIS SOFTWARE/APPLICATION YA MAGARI YA KUTUMIA LAPTOP
Tafadhali naomba msaada kwa mwenye uzoefu au uwelewa namna
Kuitambua software inayofaa kwa mazingira yetu na aina ya...
Niaje wakuu anayehitaj acc ya propeller ina 52.43Usd kama unahitaji nichek ukitk na card nakupa whatsap n call 0716483005
Nahitaji hii ela kwa acc tu
NB..Nimeshindwa kutoa mana tarehe imepita...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.