Nmenunua package ya cd ya Kaspersky antivirus natumia window 7 ila kila nikiinstall inaishia kati na kuleta hii message
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Watanzania wote wanaoutumia simu za mkononi, hii ni kwa ajili yenu na naomba uwe makini uisome habari hii na kuielewa.
Huu ni wizi mpya wa kutumia teknolojia ambao umeingia mjini kwa...
Wadau mimi ni mtumiaji wa samsung ila nimekutana na kadhia ya kufaa kwa kioo mara kwa mara yaani haizidi simu ikifika mwaka lazima kioo kife labda kwa matumizi yangu inawezekana ikawa sababu ya...
Poleni na mihangaiko ya kila siku. Ninaomba msaada wa majina ya applications nzuri kwa kuedit picha either kwenye PC au simu ya android, mfano cover za simulizi nk.
Niwatakie utimizaji mwema wa...
Jf, habarini za mchana, naomba kuuliza kwa anayejua App mzuri kwa simu za Android ambayo inaweza kustream mechi live za CAF Champions league naomba anitajie jina au anitumie. Nipo mbali na...
Simu yangu janja sijui nimebonyeza wapi , sasahivi kuna apps siwezi kutumia kutokana na nikitaka kuzifungua inaniletea vitu vya ajabu , mfano setting, message nk , siwezi fungua sasahivi .
Picha...
Habari za asubuhi wadau,
Nilitaka kujua kama kuna service ya Escrow payment nchini. Inayofanya kazi hivi:
1. nimeona kifaa Kupatana nikakipenda. Labda fridge used
2. Nikamcontact muuzaji
3. Kwa...
Habari! Naomba msaada wa Excel ambazo ni vipi nitafanikisha kitu kama Database(VBA) ambayo nitakuwa naweza ku record Data zangu kwa kuzingatia.
1.JINA yaan majina matatu
2.Kata anayokaa mtu...
Nawapenda sana katika dakika za maongezi na sms mtandao wenu upo vizuri .ila katika internet mupo very poor, yaani pooor .you tube uko ndo kabisa ina load tu .angalau tigo na voda wapo vzr
Sent...
Nikienda kwenye properties inaonesha ivo je game nacheza kweli? Manake me nimezoea kuona Intel HD graphics 3000 or 4000 sasa kwa vitu ninavoviona apo game nitacheza kweli ,,, msaada please wakuu...
Habari wana jamvi naomba msaada kwa mwenye miracle box flashing tool for pc anisaidie.niko na mahitaji nayo . Telegram or whatsapp 0753064252 au sam4peny@gmail.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu, kuna hii program ya Virtual DJ huwa naonaga sana inawekwa kwenye computer na autumika kwa kumix Audio. So naomba msaada jinsi ya kupata hii program ili niiweke kwenye simu yangu nitumie...
Habari wanajamvi,kama mada inavyojieleza hapo juu. Nina chanel za Youtube km tatu hv,na yenye subscriber wachache ni 4.8K,n viwers kwa wk hadi mwezi cyo chini ya 30k to 100k. Naomba msaada kujua...
Habari wakuu,
Mi ni mgeni kidogo kwenye configurations za Sophos routers, my ISP provided me with an IP, netmask, gateway, dns, and VPN ID kupata internet. Challenge ni kwamba nawezaje ku apply...
Kwa mwenye welewa anisaidie sababu ya hili tatizo maana kila niki insert DVD disc inashindwa kisomwa kwenye computer.
Either kuna driver yoyote inanipasa niwe nayo au vipi?. Mwenye welewa...
Wakuu... Kama kichwa kinavojieleza naomba msaada wa kupata site ambayo nitapata kudownload movie au kucheki movies online...
Sent using Jamii Forums mobile app
Heshima yenu wana jamvi, naomba msaada juu yaa Internet Download Manager (IDM). nimekuwa nikitumia hii program ya kupakuwa vitu kwenye pc yangu sasa imegoma na kuniomba niinunue, je nawezaje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.