Habari wakuu!
Kuna app ya simu za android inaitwa PHONE CONTROL, hii app nilishaitumia miaka ya nyuma ya 2012-2013.
Hii app inahusika na kukupa taarifa zote za simu uliyo install hiyo app...
Habari, kama kichwa cha habari kinavojieleza. Nimepeleka simu yangu jwa fundi kwa ajili ya kubadilisha touch screen. Amefanikiwa kubadilisha, lakini baada ya kufika nyumbani nikagundua kuwa kuna...
Mionzi ni hatari kwa mwanadamu. Ni moja wapo ya chanzo cha saratani hivyo ni vema kujaribu majiko yetu kama yanavuja ili kuchukua hatua stahili mapema kabla ya madhara hayajawa makubwa.
Mahitaji...
Simu gani nzuri yenye kamera bomba kulingana na kiasi tajwa hapo juu ..
Naomba isiwe tecno ,itel wala simu yenye chipset za mtk . Karibuni kwa ushauri wenu .
Habari zenu wakuu ?? Kichwa cha habari kinavyojieleza simu yangu Samsung Galaxy s5 haina playstore ,
Pia ina kichina pamoja na baadhi ya application ,shida yake ni playstore haina wala youtube ...
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo salama kabisa na mzima wa afya.
Ninaomba radhi kwa uandishi utakaokosa mpangilio. I'm sorry in advance...
Mambo vipi wana Jamvi?
nina shida moja naomba mnisaidie.
ninatafuta website za kingereza ambazo hazijawa monetized na adsense.
naomba anaezijua au anaeijua anisadie tafadhali
Nimeikuta pahala infinix note 5 stylus kwa Bei ya laki sita unusu. Je,Hawa jamaa wame-advance kitu gani kwa divice zao Hadi kufikia bei hiyo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, nipo nje ya Tanzania ila napenda sana kuangalia channel zake. Nimejitahidi kutafuta dish ambalo litakuwa lina beam zavTz nimekutana na hilo pichani.
Sasa naomba msaada wa haya.
1...
Wadau, juzi mtu wangu wa karibu alitapeliwa kias kikubwa sn cha pesa ,kupitia tigo pesa.. lakin anasema hakuenda kwenye sehem ya kutuma pesa, wala hakuwatajia hao jamaa namba ya siri.. tufumbuane...
Habari wataalam wa hizi kazi.
Simu yangu hii nimeitumia kwa muda sasa, ilikua haisumbui network, lakini siku tatu zilizopita imekua na tabia ya kupoteza network mara kwa mara, inapoteza mtandao...
Habar wakuu,
Nimekuwa kila mara nikijaribu ku-connect computer yang na simu ili nihamishe files, computer inashindwa kuunganisha na sim akat kwenye sim inanionesha USB FOR FILE TRANSFER. Sasa...
simu iko poa haina shida yoyote ina mikwaruzo mfuniko wa nyuma kwa alie tayari anicheki bei 160000
napatikana arusha
0624630914
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wakuu, kiukweli kwa wiki takribani mbili sasa tangu niuupdate android version kutoka version 8 to 9 na whatsap, nakutana na matangazo ya mara kwa mara, kiukweli yanakera sana.
Unakuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.