Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Teknolojia ya runinga za majumbani, inakimbia kwa kasi kubwa sana. Hivi sasa, fasheni inayotamba ni ‘flat screen’, ili uonekane unakwenda na wakati, lazima na wewe uwe na TV ya kubandika ukutani...
11 Reactions
50 Replies
6K Views
Habari Nimeharibu display ya simu yangu samsung galaxy c9 pro, imejaa wino. Nahitaji ku replace nina laki na nusu.......napata?
0 Reactions
1 Replies
551 Views
Kwema wakuu,, Nahitaji kamsaada kadogo hapo pichani niweze kuziona apps/software maana baada ya kuja hivyo vi 'menu' nilivyovizngushia duara nashindwa kuupenda mwonekao w pc NB;sina utaalamu wa...
0 Reactions
3 Replies
573 Views
Habari Za Muda Huu. Katika pita pita zangu nilifanikiwa kuchukua LG LED TV 43'' . Nilipenda SMART TV Lakini Kwa Sababu Naanza Kujipanga Basi Nikaona NiSave Pesa Kidogo Nichukue Na Dish. Sasa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Zipo sababu nyingi zinazoweza kupelekea computer kuwa slow Chache kati ya nyingi ni. 1. Udogo wa RAM 2. Udogo wa Processor 3. Ku-run program nying kwa pamoja 4. Ku-install program nyingi...
25 Reactions
65 Replies
22K Views
Ni. aina ya lenovo G500 Ilimwagikiwa na juice Mpaka sasa screen haiwaki.. Ukiweka chaji monitor ya charging inaonekana but ukiwasha n nothing... Naomben msaada cha kufanya Sent using Jamii...
0 Reactions
6 Replies
893 Views
JINSI YA KUTENGENEZA BOOTABLE USB PENDRIVE (FLASH) KWA KUTUMIA COMMAND Technology inakuwa kwa kasi sana siku hadi siku. tumezoea kutumia CD kwa ajili ya kuinstall window kwenye computer zetu...
3 Reactions
17 Replies
10K Views
Simu zetu za Android zimekua sehemu ya Maisha yetu ya kila siku. Tunazitumia katika Mawasiliano, Kuhifadhi kumbukumbu za muhimu, burudani, biashara, nk. Haya yote hufanywa na Program ambazo...
4 Reactions
35 Replies
12K Views
Samahani naomba kuulizw ipi apps nzuri za kudownload music hasa music ya mbele Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kwa watumiaji wa Instagram nifanyaje nikimfollow mtu, kwake iandike started follow you kama inavyojionesha apo chini kwenye picha? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
679 Views
Simu yangu ni Vodafone laini mbili moja inatumia laini ya Voda na inaruhusu internet nyingine inatumia lani zote lakini uwezi kuingia internet sasa naomba msaada was kuiwezesha lani inayoruhusu...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
naombeni msaada kwa mtu mwenye CCNA labs anisaidie email yangu -alvinjacksonito@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Habari wakuu... Nilibahatika kununua simu kwa mtu aina ya samsung tracfone j3 luna pro.... Alinifahamisha kua simu hiyo ilikua inatumika south africa ukiingiza laini ya Tanzania haisomi...
0 Reactions
1 Replies
661 Views
Habari wana jamii natafuta pc ambayo ni kuanzia core i5 kwa bei ya 400k njoo PM tufanye biashara kama unayo
1 Reactions
2 Replies
790 Views
Habari za majukum ndugu zangu,samahan naomba kufaham bei za kudesign logo,vover na matangazo mbali mbali Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu natumaini hamjambo.naomba mnisaidie Hivi inawezaka kudownload video kwenye account ambayo Ni private. Nilipoteza simu nikiwa Nina account ambayo nimeiweka private.but nimesahau password ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
hello bosses ka,a kichwa kinavyosema, Uzi huu nmeufungua ili tuongelee khs maendeleo ya mitandao yetu ya simu. Mimi naona mitandao yetu hii bado iko nyuma sana hada katika kumatch na speed ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
kwa wale fans wa games, EA games pamoja na kampuni ya NetherRealm Studios wanatarajia kutoa game jipya katika series ya games za Mortal Kombat... tunajua mortal kombat 9 ilikuwa the best coz of...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu Nauitwa Alphobce Christopher ni mkurugenzi mtendaji CSM Connect Ofisi zetu zipo kariakoo mtaa wa ndanda tunajishughulisha na uuzaji wa computer na accessories mpya, used na...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
habari wanajamvi kama una mtu anafaham namna ya ku unlock sim za t-mobile ambazo zimefungwa upande wa line zinaomba codes sim yenyewe ni ya buttons naomba msaada tafadhali
0 Reactions
2 Replies
844 Views
Back
Top Bottom