Kama kichwa hapo juu, naomba nitoe somo kidgo kuhusu namna ya kurudisha au kutoa documents zako zilizofichwa na virus kwenye frash yako,.
ni rahis sana na haitakugharimu kitu chochote ,fuata...
Salam kwanza...
PC yangu inatatizo la kuacha kusoma USB hadi u restore ndo inasoma but haidumu tena muda mchache tu inapotea! Msaada plzzz! USB ni nzima na haina tatizo lolote inatumika vizuri tu...
sijasahau password kwenye pc yangu aina ya toshiba inayotumia window 10 lakini imenigomea,na passwerd ilikua ya local accont,naombeni msaada wenu wanaforum
Leo ni siku ya ku-unlock simu zinazohitaji unlock code bure ili kudumisha mahusiano mema na wateja wetu. Tuma aina ya simu na imei namba zake pamoja na provider code (kwa vodafone huwa zinaanza na...
Habarini wakuu,,Ni kwa mara ya kwana napost kwenye jukwaa ili sasa mada yangu sijui kama nmeileta sehem sahihi
Mimi ninakabiashara ya kampesa,,,kwahiyo kidogo ninakaufahamu kahusu mpesa,tigo...
If thread repeated, forgive my manner! For those run for RHCE, RHCSA, RHCA, MCSA, MCSE, CCNA and CCIE, and other courses regards systems administration ill post some material here once a week, if...
Naomba msaada shut off button haifanyi kazi labda utumie right click, au control-alt-delete then utumie button ya upande wa kulia ndio utaweza kuizima.
Nipo kariakoo wapi ntampata mtaalam...
Kwa anayetaka icloud id info za mtumiaji wa mwanzo(email,namba za simu,mahali anapoishi) zinapatikana,NO PASSWORDS.
65$ anayehitaji aje PM.
Zinapatikana kwa imei number,na ile email inayodisplay...
Wakuu salam kwanza
Kama uzi unavyojieleza pc dell latitude D 830. Ina shida ya wireless internet service inagoma shida ni na ina chagua flash na sim android Izi mpya zinakataa kusoma shida ni nini?
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
BismiLLaah, AlhamduliLLaah
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUTAZAMA VIDEO ZA YOUTUBE BILA KUWASHA DATA.
MAHITAJI
1. SmartPhone
2. MBs...
The wait is over!!! Ile software ya laki mbili ya kusaidia youtubers kufanya research ya competitors wao na kushika namba nzuri youtube imevunjwa....
usi - update...ifungue then minya start bila...
Kama kichwa cha habari kinavyosema, nilikuwa na flash yangu nilihifadhi documensts za muhimu sana lakini nashangaa leo nimefungua documents zipo lakini hazifunguki. Zinagoma halafu nikihamisha...
kama nlivyoeleza hapo juu simu yangu ni aina ya vivo y51 naomba msaada pamoja na kuwa na 4g 3g inabaki kwenye E hata nikibadilisha haikubari nifanyeje?
Habari za kwebu, Nina shida katika Ms- excel 2017 Haifungui document ambayo ipo kwenye CD wala flash inaandika 'There was a problem sending the command to the program'
Salaam wakuu!
Nahitaji Fundi mzoefu wa Flat Tv. Tv yangu ni aina ya TECHWOOD 32" .. Tatizo ni power.
Kama yuko tayar kunitengenezea nyumbani kwangu ni PM .
Nyumbani ni Mjimwema Kigamboni
NB...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.