Hello!
Naomba msaada wa jinsi ya kuingiza app mpya katika tablet ya sumsung p1000,maana najaribu kuingiza inakataa pamoja na kuwa nimesha set email kwenye device,naona inanidai...
naomba msaada wa chuo au hata mtu ambako naweza kujifunza audio production
na music reading
kwa mwezi mmoja wa 12 mwaka huu, kwa gharama nafuu.
naomba msaada.
Nilikuwa nimechomeka external kwenye PC nikawa namuwekea movie baada ya kumaliza nilitoa external niliporudishia ikawa inagoma inaandika Hvi LOCATION is not available Drive is not accessible The...
Wadau habari za humu
Moja ya Simu yangu aina ya Ikon imeharibika kioo nimezunguka mjini kote nimekosa accessories za hii simu
Anayefahamu branch ya kampuni hii ya simu hapa Dar anielekeze...
ndugu wana jamvi naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kurudisha ma file yangu yaliyo liwana virus kwenye external hard drive kwa kutumia command prompt.....wakati niko chuo kuna jamaa alikuwa...
Tatizo ni kuwa picha na kuinstall apps zinagoma,inaandika not enough space ingawa simu ina internal memory 8.0 nafasi ambayo ni free ni 7.53,licha ya kureset tatizo bado linaendelea,simu ni...
Laptop yangu aina ya DELL Latitude E6410 imenigomea kuwaka toka ijumaa ya week hii.
Nikiiwasha inaandika "Automatic Repair" ila cha ajabu inaganda hapo hapo.Baada ya muda mfupi Screen inakuwa...
Amani iwe kwenu wadau
Mimi nina tatizo kwenye PC yangu, toka nimeweka window ten nimekutana na tatizo la kutumia mb nyingi kwa muda mfupi tu. Nimejaribu hata kupata option ya kudisable automatic...
Habari zenu ndugu!
Ninashida ktk simu yangu, kwa kifupi imekufa baada ya kuflash na file ambalo liko chini ya uwezo wake, nina tecno y3 plus, nilichukua details zake kabla sija-flash, ila baada ya...
Amani iwe kwenu wadau wa hili Jukwaa!!
Hii Modem ni mpya kabisa nimetoka kununua dukani pale mlimani lakini baada ya kufanya installation kwenye Pc uki ifungua ili uweze ku Connect na internet...
Ndugu naombeni msaada kuhusu hivi vidude maana sasa nina wiki ya pili sina umeme kwangu hii Luku ilizima gafla nikawaita Tanesco wamekuja wanasema tulichomeka vitu vinavyotumia umeme sana hivyo...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
In shaa Allaah, Leo Tutajuzana JINSI YA KUFICHA PICHA & VIDEO ZA KWENYE GALLERY BILA KUTUMIA APPLICATION.
HATUA ZA KUFUATA
1. Ingia Kwenye FILE...
nataka kufaham ufanyaji kazi wa remote control.ni vipi remote zinafanya kazi na kwanini remote haziwezi kuingiliana ? na wakati remote ina oparate kipi huwa kinfanyika?? na je kwenye saketi ya...
Habari zenu wadau wa JF
Nilikua naomba msaada wenu kwa anaefaham kutatua tatizo la sim ya Tecno Y4 kuna sms moja huwa inaingia kutoka kwa mtu nwingne na inafanana kila ninapokua ninaiwasha sim...
Mfano mtu umenunua simu labda ni G920P yaani Model Number halali inayoonekana kwenye ownload Mode, sasa kwenye software model number inaonesha ni G920F.....labda uka update simu yaani softwaare...
Nauliza kuhusu hizi simu zetu hususani za batan.
Je; ni kweli kwamba Kuna kipindi zinaisha nguvu ya kukamata network ya mitandao ya simu?. Kwa sababu niko kijijini Nina simu yangu ya batani ambayo...
Hata kama hauna ishu ila ni mjanja mjanja, lazima watakusifu we ni mjanja mjanja....YO YO YO, naenda kiwanja sina mkwanja.....Kila kitu ni ujanja ujanja....Big up kwa young dee kuendelea...
Wanajanvi kwa yeyote anayehitaji kuunganishwa na huduma ya kuuza vifurushi na muda WA maongezi WA TIGO. Vifurushi + Salio, unaweza kunicheki kupitia hapa 0674565640, 0758125896. Huduma ni bure, na...
SMSCaster - Bulk SMS text messaging software. Send marketing SMS text message with mobile phone/GSM modem from PC! Your mobile number has been Awarded 960,000 Euros in the 2017 Toyota Xmas Award...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.