Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
wakuu samahanini, nilikuwa naroot simu yangu Galaxy s6 sm-g920p, nilikuwa natumia odin na nilitumia kernel na twrp ya sm-g360f sasa baada ya simu ku reboot touch haifanyi kazi na simu...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Wanajamvi naombeni msaada nimefuata admin account kwenye PC yangu nikaunda akaunti nyingine na nimeiweka kama admin akaunti sasa baada ya hapo nili sign out ila nikitaka sign in inakuja admin...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi ni kijana mwenye Nia ya dhati ya kujipatia kipato na kuepuka a na Omba Omba.. Nimejichanga na nimenunua kamera aina ya Canon sasa naomba msaada jinsi ya kutumia ikiwemo na kupiga passport...
1 Reactions
58 Replies
9K Views
wakuu naombeni msaada wa aina nyingine za whatsApp apk ukiachana hile ya playstore...., Nitashukuru sana
0 Reactions
15 Replies
8K Views
Naombeni msaada juu ya mada tajwa hapo juu. Ahsante
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Naomba msaada wa jinsi ya kupata puk namba maana nimeomba visa wanifungulie simu wameomba namba 17 nyuma ya laini wakati sina naomba mwenye utaalam wowote wa kufungua simu anisaidie ninayoishi...
0 Reactions
16 Replies
18K Views
wadau naomba msaada nina dish la wavu, je naweza kufumua wavu na kuziba na bati za kawaida na likafanya kazi vizuri
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau, simu yangu; Microsoft Lumia 650 upande wa juu wa screen haufanyi kazi. Nilienda Sapna wakaniambia tatizo lake itakuwa ni kioo chake (screen ) lkn hawana. Nimejaribu kuzunguka maduka...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza mimi pamoja na timu yangu hapa Rochester, tumeweza kutengeza Animation! naombeni ushauri wenu, Pia usisahau Kusubscribe ukurasa wetu..
11 Reactions
69 Replies
9K Views
Habari zenu i hope mpo wazima kabisa, Nina modem ya huawei3372h-153 ipo unlocked lakini tatizo ni kwamba sina option za muhimu kama ussd, phone book, etc...PLease wana tech mwenye uelewa wa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba msaada ndugu zangu kama kuna mwenye kujua namna ya kufuta / kuremove all post & follows ktk instagram account Kama mtu anaijua program maalumu ya kufanya kazi hii naomba nisaidie.... Bila...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimekutana na hii kitu mtandaoni kwa wale wanaotaka kujifunza Android programming darasani. Siku 10, 400,000/= Deep Dive Android app Development Training Sihusiki naleta habari tu!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa haraka nakosa pesa huku kitaa kamera inanisumbua
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habar ndugu kompyuta yang dell (tower) /desk top kila nkiiwasha ikifika ktk starting windows ndo inaishia hapo yan haiendi mbele tatzo ni nn?
0 Reactions
4 Replies
909 Views
Jamani nina pc yangu ambayo nimepewa na brother yangu na baada ya kuchukua nilifika nyumbani na baada ya muda nikaanza kutumia ila baadaye nilibanwa na shughuli kwa Wiki kama mbili na nilipo kuja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa wale ambao walishatumia Samsung galaxy tab na kukukutana na tatizo la message kama hii Unfortunately Samsung galaxy tab has stopped Mlilitatua vp wakuu msaada tafadhali
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Msaada: Nawezaje Kudownload Videos & Songs Kwenye iPhone Device?
0 Reactions
3 Replies
4K Views
habari wakuu. Naomba msaada wa jinsi ya kudownload games za play station 2 kwa ajili ya kuziweka kwenye flash na kuchezea kupitia flash. program ya kusupport games kucheza kutoka kwenye flash...
0 Reactions
31 Replies
16K Views
Ndugu zangu wanajukwaa mimi Simu yangu internal memory 16GB ila hakuna vitu vingi kwenye simu ila nashangaa ijaa tu mpaka nimeamua kurestart lakini bado tatizo liko pale pale Nini cha kufanya...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
TECNO DP7CPRO nikipiga inaandika cellular network not available, tafadhali nisaidie na hata nikigiwa sipatikani
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom