Ndugu wana jf natumai muwazima wa afya tell Niliitaji kujuza kwa wenye ufahamu na uelewa wa app nzuri ya kusoma vitabu yani ambayo itakuwa nasoma kitabu yenyewe mi kazi yangu inakuwa kuskiliza tu...
Wakuu habari yenu?.
Mi ni mdau mkubwa wa kupoteza simu yaani nimekuwa na tatizo hili mara kwa mara na ndani ya wiki mbili nimepoteza simu 3. Kiukweli hali hii inaniuma sana na inaathiri uchumi...
Kama ume sahau pattern yako ya simu na umejaribu kuweka mara nyingi ika jifunga cm hutakiwi kusumbuka tena kinacho takiwa zima simu arafu washa na wakati una washa shikilia kitufe cha kuongezea...
Wale wanaohitaji domain name kwa ajili ya Blog/website offer ndio hii
Kwa TZs 15,000/= kwa mwaka
unapata Domain name za .net au .com
Free blogger set up (custom domain)
ukihitaji hosting ni...
Adsnse imekuwa kizungumkuti kwa bloggers wengi sana.. Masharti kibao na pia dolari kuingia hadi uumize kichwa kweli kweli.. Ila yote hayo karibuni yanapotea kutokana na ujio wa Facebook Instant...
Jaman habar zenu wakuu...ndugu yenu hapa natumia asus toop lakin imeshapasuka display ...na nahtaji display mpya kwa mwenye kujua ni jinsi gani naweza kuipata hyo lcd display anisaidie kwakweli ...
Kama kichwa kinavyosomeka hapo juu nashindwa kuelewa ni nn kimetokea kwenye simu yangu kwan siwezi tena kudownload Application yoyote badala yake naandikiwa download pending mda wote hadi naamua...
Msaada namna ya kutoa simu inayoishia kwenye WI-Fi settings.....
Baada ya simu yangu kuwa slow nkaamua niifanyie hard reset. Sasa kila kinjaribu kuanza upya inaishia kwenye Wi-fi setting aiendlei...
Wakuu nilikuwa naomba msaada wa mtu anayejua App ya kubadilisha link ya YouTube Au Instagram to normal video. Nilimepata baadhi Ila ni Android.
Asanteni
Za asubuhi guys, hope mmeamka salama.
Leo nmekuja na wazo jipya la kujikwamua kiuchumi kwa kutaka kuunda timu ambayo tutatengeneza na kuunda blog yetu kama ti ,na kisha kupeana majukum kwa kila...
Tunatoa huduma za kudesign
Logo
Product labels
Posters and brochures
Business card
Calendar
Billboard
ID card
Digital drawing
Music covers...nk
Huduma zetu ni nafuu sana
Contacts:
Call: 0768829357...
Wajuzi wa mambo hebu naombeni msaada kidogo hapa.
Tablet yangu sumsung s2 hawaki wala haiingizi charge kuna mjuzi wa hii kitu humu?
Msaada wenu furaja kwangu wakuuu
nokia e73 niliweka kwa betri ya pikipiki yaani kuunganisha terminal zake bila betry wala kipoza charge nilipo washa haikuwaka na nilipojalibu kuweka betri haikuwaka tena je ni nini kinaweza kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.