Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Wakuu naomba msaada nilikua naichaj sim ndani Kwangu nimestuka usiku sa 9 kuanglia simu haipo nilipo kua nimeweka.. Msaada napata wapi imei zake? Simu ni TECNO W3 LITE. Lengo ni kwenda TCRA...
4 Reactions
89 Replies
10K Views
khabar wadau wa Jf, nimeibiwa sim tecno w4 na imei zake ninazo, je naweza ipata cm yangu?????
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari, karibu katika thread hii ambayo tutaweza kujifunza ,Adobe photoshop kupitia njia rahisi kabisa ambayo itakuwa ikitumia hususan sana lugha yetu pendwa ya kiswahili. Utakapomaliza utaweza...
5 Reactions
27 Replies
14K Views
Nahitaji magemu ya ps3 kwa aliye naye katika mkoa wa MWANZA.kama upo tayari ingia in box
0 Reactions
0 Replies
647 Views
Naomba kama yupo anayejua namna ya kupata pes 2018 ya kucheza kwenye android anielekeze please
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni application gani nzuri ambayo itaweza kukusaidia kupata simu yako kama imeibiwa au kupotea
1 Reactions
3 Replies
612 Views
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAH WABARAKAATUH IJUE IDADI YA WEBSITE ZILIZOHACK-IWA, INTERNET USERS N.K KWA SIKU YA LEO. HATUA 1. Ingia Google. Kisha Nenda Sehemu Ya Kuandika Url 2. Andika...
1 Reactions
21 Replies
1K Views
wadau mambo VP, naomba mnijuze application nzuri za kuedit picha kwenye simu za android.
0 Reactions
12 Replies
23K Views
KTSS_2018-01-02_x17620_392E2468.key Oke tusaidiane jamani una activate vipi antivirus kupitia licence key kama hivo
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wakuu,kama kichwa kinavojieleza,Pc yangu HP hiyo pichani haiwaki,tatizo lilianza niliiacha kwenye ikiwa ON huku nimechomeka adapter (betri haukuwepo) na niliporud badae imezima na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
game gani ni game Kali za missions za kijeshi na actions Mie nalikubali MISSION BERLIN
3 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani device kuwa ROOTED inafanyika yenyewe tu wakati ku update au inafanywa na IT personnel? Msaada wadau wa it
0 Reactions
0 Replies
582 Views
Naombeni msaada kwenye wasapu nawezaje kuweka apps yeyote kwenye wasapu yangu ili kwa mtu aliyetuma meseji kwangu isionyeshe Kama nishaifungua meseji yake (yani isionye zile tick mbili za rangi ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nina magroup kadhaa sasa sio kila mda nahitaji kuzipata chart za magroup yote kama kuna app hiyo naomba msaada kuzui meseji zisije mpaka nitakapo ruhusu
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nina tecno boom j5 naomba msaada namna ya kuroot
0 Reactions
4 Replies
770 Views
Jamani hili tatizo linaninyima amani upande wa minala inasimama bila kutingishika lakini nikifungua Data haitulii inapanda nakupotea shida ninini na ufumbuzi wake niupi? Sent using Jamii Forums...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu mwenye ujanja wa kuweka verified blue tick on instagram,aje hapa atupe maujanja
0 Reactions
12 Replies
10K Views
kama upo dom na una cfw ps3 njoo inbox kufanye biashara nata uniwekee cfw game kwenye ofw ps3 0684617704
0 Reactions
0 Replies
467 Views
Habari zenu wana jf. Napenda kujua ni vigezo gani muhimu natakiwa nivizingatie katika uchaguzi wa laptop? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Nimefaulu kuprint kwa simu ya Android, moja kwa moja kwenye printer ya LaserJet P1102. Nadhani kwa printer nyingine itawezekana pia. Nimetumia OTG cable Usb AB Cable ya kawiaida ya printer...
3 Reactions
5 Replies
6K Views
Back
Top Bottom