Nimeikuta mahali, just be the first to know kuwa Samsung wanakuja na simu mpya Samsung Galaxy S 9 ambayo imeelezwa kuwa ndio simu Kiboko ya smartphones zote kabisa....
za Samsung.
Rumours...
habari wanajamvi,
nimenunua simu za vodacom lakni na shindwa kutumia data lain nyingine kwa sababu lain ambayo unatakiwa kutmia data ni voda nashindwa kupata uwezo wa kutumia data kwa laini...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KUBADILI MUONEKANO WA CMD
Je, Upendezwi Na Muonekano Uliozoeleka wa CMD? Kama Jibu Ni Ndio, Basi Uzi Huu Una kuhusu Zaidi.
IKO...
nophone ni kifaa kama simu kisiyofanya kitu chochote, haijulikani kwanini kimetengenezwa lakini ndio kipo.
specs za hii siyo-simu ni rahisi kuzijua maana kila kitu hakuna, haina os...
Wadau naomba msaada kwa yeyote aloyewahi kumbana na hii changamoto! Site yangu ndiyo kwanza haina hata mwezi, lakini jana nimeshindwa kuingia na inaniambia hacked by XenonCoder!
Je nitumie mbinu...
App Zote katika simu Yangu zinafanya kazi isipokuwa Facebook, ambayo huonesha kama Hanmna conection za internet. Na nikii restore simu yangu tatizo huisha na kujirudia baada ya Siku chache
Simu...
Hivi kwa nini American Cars kama Buick au Cadillac hayapo sana Bongo? Ni kwamba producers hawana markting strategies kwenye nchi zetu? Au hakuna magari ya mtumba ya aina hiyo? Kama kwa magari ya...
Samaanini sana wadau
Nilikua nahitaji mwenye kujua mchoro wa circuit ya umeme ambayo inamuunganiko wa diode(light) transistor , capacitor na device nyngne nimeishau ila hiyo circuit mwisho wa...
AS SALAAM 'ALAYKUM WARAHMATULLAAHI WABARAKAATUH
JINSI YA KUWEKA PASSWORD PARTITION ZA HARD DISK.
HATUA
1. Right Click Hiyo Partition, Kisha Bofya TURN ON BITLOCKER
2. Utaweka Weka Tiki Kwenye...
Habri wakuu tafadhari naombeni msaada juu ya hii IDLE yangu ya pycharm nataka kuinstall packages lakini napata error nashindwa endelea na projects zangu
Habarini wapendwa wote kama kuna yeyote anayehitaji huduma ya ku downgread, /jailbreak na kuinstall custom firmware kwa vission zote ikiwamo superslim an PM pia huduma ya kuweka games aina zote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.