Heshima kwenu wakuu
Nina simu ya W5 inasumbua, nikidownload vitu (pictures,videos and documents) baada ya muda Kama wiki moja nakuta vile vitu vimejifuta Au wakati mwingin pictures zipo Ila...
Habari JF,
Naomba kufahamishwa. Unapo futa file ama folder ama document nyingine yoyote katika kompyuta i/linakwenda wapi?
Ikumbukwe kwamba kuna temporary deletion na permanent deletion...
Naomba msaada jamani, maana nlikuwa naweza kuhamisha files kutoka kwenye simu yangu (Techno boom J8) kwenda kwenye PC lakini nikifanya hivyo sasa inagoma,lakini nikiweka simu aina nyingine...
laptop ya hp compac 6910b imekufa kioo natafta replacement yake. Naweza kipata kwa mafundi gani?
Pia hiyo kamba ya power button imesagiga nataka mpya. Pm me kama una hivo vifaa.
Naomba kuelekezwa namna ya kurekebisha frequency kwenye dish la azam tv ambalo limepoteza uelekeo kabisa.Mimi nipo kijijini kiasi kwamba kumpata fundi italuwa taabu.Decorder inasoma intensity 16...
Prosessor hii ni ya desktop ipo sokoni ni dual core kwa 350,000Tshs Iko katika ubora wa hali ya juu.
pm me price is negotiable.
Sifa zake.
Number of Cores 2
Number of Threads 4
Processor Base...
Habari wanaJF!!!
Nafafuta battery original/Genuine ya laptop(kama inayokuja na PC)...au isipopatikana hiyo sio mbaya ata Replacement yake(Grade ya kwanza) yenye uwezo wa kukaa na chaji Masaa...
Habari wakuu, nina tatizo la HDD Password kwenye Laptop ya Samsung Notebook nimejaribu kuiondoa kwa kila njia niijuayo imeshindikana na mbaya zaidi nikaamua hadi kubadilisha window lakini tatizo...
Kutokana na maombi ya wadau,kutaka niiweke hadharani circuit ya kuongeza nguvu ya umeme maeneo ya low voltage(Umeme mdogo) ambao unashuka chini ya 110 Volatage hivyo stabilizer ya kawaida...
Msaada wenu wakuu,modem yangu hupatwa na matatizo ya ku fail nnapo taka ku connect data.inaniletea ujumbe ambao nmescreen na ku attach hapo chini.huwa nna un install,halaf nna install tena,hapo...
Wakuu, naomba kushare nanyi website ambayo imekuwa ikinisaidia kupata keys za program mbalimbali ambazo zimekuwa zikiuzwa.
Ukiingia Smart Serials The Ultimate Resource of Free Serials tafuta...
Jamani naomba mnielezee ipi ni best brand kwa uimara(not perfomance)kati ya HP, LENOVO, DELL NA TOSHIBA?? NB: Sihitaji maelezo ya brand nje ya hizo nilizotaja hapo.
Sent using...
Naomba kujua jinsi ya kupata Unlimited Bando kwa matumizi ya Ofisini, kutoka kwenye kampuni za simu iwe Tigo, TTCL, Voda, Airtel, Halotel etc ila iwe na kasi ya 4G au 3G.
Bando liwe ni la mwezi...
Wakuu habari
Nataka kufanya sim card Port kutoka Vodacom kwenda tigo but kinachotokea ni kwamba kila nikifanya naambiwa taarifa ziko wrong, nikaenda Vodacom wakaniprintia taarifa zangu kama...
Wakuu tafadhali kisimbuz changu cha Azam kinaniandikia No program nimekitumia takribani mwaka, jana kuna dogo kaminyaminya rimoti sijui hata kafanyeje leo nawasha nakuta no program. Msaada tafadhari.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.