Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Kama kuna mtu anafahamu kama kuna app ynye writting za utalic msaada nidownload maan napenda sana keyboard za italic hususan yale maandishi
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau habari nina tatizo kwenye simu yangua ya infinix note 3 kwamba nime save namba kwenye simu nikipiga naongea frsh,nikitakata then nikiipiga namba iyo iyo naambiwa hakikisha namba then nipige...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naombeni msaada wenu mnaojua na mpango wakutengeneza app nakuweka playstore sasa sijui kama unalipwa na kama unalipwa pesa kiasi gani kutokana na watu waliodownlod app yako? maana naonaga...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Vyuma vimekaza wakuu mwenye maujanja codes za kupata free channels
0 Reactions
20 Replies
11K Views
Eti wakuu, nani wanahusika na kazi hizo hapo juu. Utaratibu wao ukoje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Msaada please kwa yeyote ambaye anafahamu namna ya ku unlock bootloader katika huawei Y300-0100 naomba trick zake cause nashindwa kufanya update ya kutumia custom rom inakuwa blocked na hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wana teknohama..naomba msaada wa njinsi ya kufungua sumsung note bila kufuta sms zilizo kwenye simu
0 Reactions
2 Replies
593 Views
Msaada tafadhali kma kichwa kinavyojieleza,i mean jinsi ya kuchapsha Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
984 Views
Simu yangu Tecno R5. App ya kupigia simu inaandika. Unfortunately, dialer has stopped,. Kwahiyo sipigi simu wala sipokei. Simu nimeroot naweza kuiset ikapona?
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Habari zenu wadau,simu yangu aina ya Tecno J8 inaingiza charge taratibu sana yaani kujaa asilimia 27 inachkua masaa 12,ili hali umeme hauja katika,nimejaribu kuizima na kuichaji mchezo ni ule...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari wana ukumbi Nilikuwa nauliza je kuna uwezekano wa kuangalia tv channels za Tanzania nikiwa nje ya nchi just kwa kuweka freq zake? Thanx kwa msaada. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
789 Views
www.halonewstz.com Niambie mapungufu ya hii blog, tamplate yake unaionaje? Nikupe kazi gani uierekebishe Funguka
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Guys nina tatizo la pc kuganda wakati nikicheza game la euro truck simulator 2 ,mwanzoni nililicheza vizuri kwenye hp g61 2gb ram,sasa nimeliweka kwenye dell 2gb ram linaganda sana yaani si enjoy...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
UbongoFAIDA ni kijana ambaye aliingiwa na wivu wenye nia njema kuwa kwanini asitoe maarifa machache anayofahamu kuwasaidia vijana wenzie wenye nia ya kujifunza . Sasa Atakuwa akikuletea mafunzo...
0 Reactions
0 Replies
968 Views
Habari zenu wadau, Nimekaa na kutafakari hivi ni kifaa gani kilichomo kwenye simu zetu ambacho huifanya simu i-vibrate?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Msaada Kwa anayefahamu kustream DStv online kupitia simu Kwa kutumia mb Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ka kilongalonga kangu ka L8 tecno kameugua ugonjwa wa kutojaa haraka asee, waweza chaji kwa masaa zaidi ya nane na kasijae, nimebadili chaja zaidi ya tatu, lakini tatizo lingalipo. Wajuvu wa haya...
1 Reactions
45 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu. Ninapenda kufahamu kama hapa bongo huwa Kuna mshindano ya kumtafuta gwiji wa kucheza game la Tekken. Yoyote Mwenye taarifa anijuze tafadhari.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naweza kusoma SMS za inbox Facebook bila kutumia messenger?!
0 Reactions
5 Replies
629 Views
Back
Top Bottom