Habari ya saa hii, wakuu naomba msaada wa android emulators nyepesi inayo support whatsapp mbali na bluestack maana ni nzito kufunguka katika window 10 pc.
Habari JF,
Mchakato wa udahili wa masomo wa elim ya juu ( chuo ) umeenza. Baada ya TCU 'kuwekwa' pembeni kwenye mchakato mzima wa udahili mwaka wa masomo 2017/2018. imebid vyuo vingi vije na...
msaada anayefaham,,,nashindwa kuroot simu tajwa hapo juu,,,nimetumia kingo root ikifika asilimia 90 sim inazima na ikiwaka hakuna kinachoendelea
Sent using Jamii Forums mobile app
Ningependa kufahamu kati ya Processor hizi mbili ipi iko faster na yenye Performance nzuri.
1. Intel Core i5 - 3.2GHz Processor, 4th Generation, 2-Logical Cores.
2. Intel Core i7 -...
Jamani ni mda tu natumia simu aina ya samsung note 3.jana nimepatwa na tatizo la screen kutumika nusu namaanisha icon zimekuwa ndogo, kila nikiset font hakuna msbadiliko naombeni msaada.viandishi...
Wakuu naomba mwenye uelewa mzuri na hizi line za tigo pesa au mpesa nk anieleweshe vizuri akitokea mtu anataka kuniuzia ni jinsi gani ya kuijua ufanyaji wake wa kazi??
Sent using Jamii Forums...
Baanda ya kuhangaika sana nimefanikiwa kutumia bixby kwenye s8 yangu. Process ni ngumu kidogo.
Ila ni
1. Kwanza ni kuroot simu.( ni lazima simu iwe rooted)
2. Kuinstall TWRP.( hi ni kwa ajili ya...
Leo July 25, 2017 wadau wa mawasiliano Tanzania na China wamekutana kwenye Mkutano wa pamoja ‘Round Table Meeting’ uliofanyika Dar es Salaam kwa ajili ya kuzungumzia issue ya matumizi ya internet...
Link: https://www.kaspersky.com/free-antivirus
Kampuni ya Urusi Kaspersky imetangaza kuwa itatoa Kaspersky Free software ya antivirus ambayo itakuwa ni bure.
Software hiyo itakua haina baadhi...
Kwa anayefahamu, naomba kujua namna ya kutengeneza application kisha kuiweka Play store ikiwa ni pamoja vigezo husika.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu,
Naomba kufahamu ivi naweza nikafanya backup ya picha zilizofutika kwenye simu ambazo zikuzisave "Google drive"??? Hakuna namna yoyote ya kufanya manuva??
Ni hilo tu kama wafahamu naomba...
Salama wana kama kinanyo sema kichwa cha habari hapo juu naweza kupata
Adobe CS4 Master Collection au nikapata nusu nusu pia itakuwa poa sana sana nahitaji
adobe illustrator na adobe premiere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.