Naomba msaada wadau kwa anayejua wapi naweza kupata decorder za canalsports na bei ya vifurushi, pia wapi naweza kupata receiver za strong zenye powervu pia ni autoroll
Sent from my TECNO-C8...
Habar za umu mi mwanafunz wa mwaka wa kwanza IT sasa nna mpango wa kufungua blog kwa ajili ya kushare idea km vile
1. Kutengeneza video games
2. Kuelekeza programming
3. Hacking tutorials
Na...
Niliichaji kwenye kibanda cha kuchajishia simu, baada ya siku mbili tatu, ndiyo tatizo likaanza, ilianza maandishi kuchezacheza, ikaja kioo kuchezacheza(flickering), sasa imekuja kwenye kioo kuna...
Nimejaribu kutumia miracle eagle eye ver 2.27A box ,lakini naconnet sim sioni kazi yake sioni ikifanyika nimefuata sana njia zote za KWA KUWATCH VIDEO YOUTUBE ILI NIWEZE KUFANIKISHA ZOEZI...
Habar watanzania wenzangu.Nina computer Aina ya toshiba RAM 3 HDD180 nahitaji kufanya video editing and photo editing.je machine yangu hii ina uwezo wa kufanya hizo shughuli na je kama ina huo...
Napakuwa window kwa kutumia utorrent imepakuwa mpaka gb 4 na point ipo asilimia tisini lakini inaleta error na ujumbe unaosema file too large( write on disk).
Nifanye ili iendelee masna...
After WannaCry and Petya ransomware outbreaks, a scary (but rather creative) new strain of ransomware is spreading via bogus apps on the Google Play Store, this time targeting Android mobile...
Wakuu, habarini.
Kwa yeyote mwenye access na latest eBooks ambazo naweza kudownload for free naomba msaada Kuna ndugu yangu mmoja alinisaidia search engine moja inaitwa www.torrentz.com lakini...
Habari zenu jamani kwa wale waenyeji wa mkoa wa singida hasa manispaa tafadhali nisaidieni anaejua mahali lilipo duka la sim na vifaa vya HUAWEI anielekeze plzzzz
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada;Smart phone yangu aina ya W4 hai access internet service gafla hii week ya 2 nliamua kui flash lakini bado tatizo lipo pale pake
Sent using Jamii Forums mobile app
60-PLUS SOCIAL NETWORKING SITES IN 2017
Human nature by default has been programmed to be socially active to a certain extent. Some people are more active, while others are less so!
However...
Habari wanajamvi,msaada wa haraka unahitajika kuna rafiki yangu aliweka call barring for all incoming calls kwenye simu yake mpaka sasa hapokei simu wala sms.
Tumejaribu kutoa kwa kutumia namba...
Habari zenu..... Mwenye uelewa namna ya kufuta chat history on whatsap hata mtu akifanya back up asikute chat histories and messages anaeelewa
Sent using Jamii Forums mobile app
Binafsi nilijaribu kubadili battery nikaweka lingine ila tatizo likabaki lilelile,nikaamua kubadili adapter ila still tatizo likabaki lile lile.
Kwa wataalamu naomba msaada katika kutatua hili tatizo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.