Kama kuna uwezekano ni hatua zip kufuata ili uwe na uwezo wa kutumia 4G simu ambayo inasoma 3g. Particularly kwenye device yangu ambayo ni TECNO 8H Chief-Mkwawa
hv wana IT ni mtandao gani una vigezo vifuatavyo katika internet kwa matumizi ya kompyuta/ laptop.
1. una speed ya hali ya juu.
2. vifurushi vyake vya MB ni nafuu.
3. hausumbui wakati wa kudownload.
wakuu habarini za mchana!
wadau naombeni msaada wa jinsi ya kupata video za masomo ya kufundishia mbali na kutumia video za youtube, kwa mfano video zinazohusu pysical geography, kama kuna mwenye...
Wakubwa shikamooni,
Wadogo marahaba, tunaolingana mambo.
Jaman baadhi ya chenel kwenye kingamuzi cha AZAM tv ukiiclick inaandika channel is scrambling, ina tatizo gani? Kwa mfano fox sposts...
Samsung finally explained why Galaxy Note 7 batteries are exploding
By Chris Smith on Sep 8, 2016 at 11:23 AM
Mobile
Share This Story
Tweet
Like
Share
Submit
Shop ▾
Image Source: Zach...
Natumia techno p5... Leo nmebadili ROM ya lollipop 5.0 kwenda window phone 8.0......chakushangaza instragram haisapot n camera haipo......kila nnayo danload inagoma
Mi siipendi smart phone yangu kwa sababu zifuatazo:
1.Kamera yake haina uwezo wa kupiga picha angavu mchana kama usiku na usiku ndo sisemi.
2.Uwezo wake wa kuandaa taarifa ni mdogo sana siwezi...
Wakuu humu ndani nakuja kuomba msaada mnisaidie
Account yangu ya bank niliunganisha na PayPal account sasa nakuta account yangu inakatwa hela ambazo sielewe ni ali-hack akaundi yangu na akaanza...
Samahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani...
Habari wapendwa!
nimerudi tena najua hapa haliharibiki jambo. compyuta yangu aina ya dell nimeinstall window 7 profesinal haitoi sauti.
Naomba mwenye kujua jinsi ya kuirudisha sauti au mwenye...
Habari zenu wataalam wa gadgets. Ninatumia Windows 10 kwenye pc na nikaunganisha Bluetooth inasearch tu ila haipati devices nyingine yaani inasearch mpaka inafail, nmejaribu kuipdate ila pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.