Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Ikiwa ni siku chache baada ya kampuni ya Samsung kutangaza kurejeshwa kiwandani kwa simu zake aina ya Samsung Galaxy Note 7, ajali nyingine kubwa imetokea baada ya gari aina ya jeep kuwaka moto...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Hello JF fans I have a little tip for you today.....!
1 Reactions
2 Replies
806 Views
Tunapenda kuwatangazia kuwa Sasa tumeshusha gharama zetu za application Kwa ajili ya blog, Kwa yeyote anayehitaji tuwasiliane fasta. Bei ni 35, 000 tu, hii gharama ni pamoja na gharama ya...
0 Reactions
2 Replies
674 Views
Naitaji wadau wataalamu wa taaluma hii wanipe uzoefu / ujuzihapa tunakwenda kuisoma ndani ya bsc.informatics
0 Reactions
0 Replies
685 Views
Naomba msaada wenu. Kwa yeyote anaejua apk nzuri ya ku hide apps kwa simu ambayo sio rooted naomba anitupie humu.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wanjf naomben msaada jinsi ya kudownlod movie natumia iphone
0 Reactions
1 Replies
508 Views
Computer yangu iliingia maji saiv inazingua kuwaka nifanyeje jaman
0 Reactions
0 Replies
377 Views
Wadau tu wazima? Ili kupata link ya Whatsapp ndo unafanyaje? Nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
876 Views
Habari wadau, naomba kuuliza je kwa hapa tanzania kampun gan watalaam wa kutengeneza website/blog. Asanteni.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello. Habarini. Nina ps3 model ya mwanzo kabisa model no. CECHA01.Nahitaji fundi ambaye anaweza kuichip ili iweze kucheza games za kudownload za ps3. Kwa mtu ambaye ni fundi wa kuchip kwa mkoa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Simu ipi nzuri kati ya galaxy note 3 N9005 vs galaxy J7?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Brand : HP 15-ac032TX Notebook (M9V12PA) Rangi ya Silver PROCESSOR : 5th Gen Intel Core i3,procesor inaishia na 'U' RAM : 8GB RAM HDD :1TB Window 10 2GB graphics Jamaa anataka nimpe...
0 Reactions
28 Replies
4K Views
Habari zenu ndugu, Nimekuwa nikijaribu kutafuta pc games online, lakini jitihada zangu zimegonga mwamba licha ya kujaribu kudownload kwa kutumia website hizi, kickass.com, skidrowgames.com...
0 Reactions
14 Replies
28K Views
Habar wakuu? leo nimeamka asubuh natak kuperiz mtandaoni nashangaa meingiza modem kwa PC inakataa kusoma mejarbu mara kibao,hat nikifanya dial up inagoma pia.inaandika hivi pc kuwa error...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Habarini members. Nawezaje tengeneza page ya Facebook bila kuwa na Add Friend? au Niwe na kitufe cha follow pekee yake nifanyaje? Nawasilisha.
0 Reactions
1 Replies
576 Views
jamani naombeni usaidizi wa product key za wnds 8.1 coz pc inaandika Actevate windons
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Je kuna effects zozote zinazoweza kutokea kama ume root simu na ukawa unatumia huduma za pesa za mitandao? Any possibility ya kuibiwa pesa?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1.mobdro Hii in zaidi ya kisimbuzi inafanyakazi vizuri sana kila aina ya channel utazipata kuanzia sports channel km beIN sports,sky sports,fox sports Za habari kama BBC news CBS CNN...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
wakuu simu yangu ime`stuck,haisense kabisa kwenye touch,hadi ni`touch kama mara tano hivi ndio inakubali na si mara zote,nikipigiwa ndio hata siwezi kupokea,hai`function chochote,chanzo cha tatizo...
1 Reactions
0 Replies
555 Views
Wasalaam Nyote Wakuu nina shida ya wataalam wa VideoCamera hasa zinazotumia DIV. Kwa bahati mbaya DIV zangu za tukio la sherehe yangu zimepata hitilafu ktk upande wa sauti/audio inakatakata ila...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
Back
Top Bottom