Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions
Habar zenu wana JF. Msaada jinsi ya kuandika batch script ambayo itaweza kurename filenames kwa kuongeza namba kuanzia moja mpaka namba ya mwisho kutegemea idadi ya files kwenye folder lakini...
0 Reactions
0 Replies
724 Views
Habari ndungu wakubwa kwa wadogo Naombeni msaada nmepata laptop kutoka dubai kwa sh laki sita aina ya mackbook pro (apple laptop) sasa jinsi ya kuisafirisha kuja tz nifanyeje?
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Hatimaye kampuni ya apple inatarajia kuzindua simu ya iphone 7 hapo leo (siku ya jumatano). Matarajio ya wengi ni kwamba iphone 7 itakuwa na camera yenye lens mbili, na tundu la kuwekea earphone...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Habari za mda huu wakuu..... Naombeni mnisaidie juu ya hilo jambo...... Au TCRA wanatuzuga???
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Toka nimeanza kutumia whatsapp sijawahi kulipia subscription fee na ukiangalia application hii haina matangazo. Je whatsapp wanapata vipi faida au wanatengeneza vipi pesa
4 Reactions
65 Replies
9K Views
magwiji ya kutengeneza simu jana wametambulisha bidhaa yao ikiwa na vitu vizuri lakini kwa upande wa betri mm naona kama ndogo vile nafikiri huku bado hajafika
1 Reactions
0 Replies
433 Views
[Wakuu naomba msaada wa Ku unlock Broadband ya Smile LTE/4G nimeweka line nyingine lakini bado inaandika Smile 4G. Naombeni mbinu za Ku Unlock itumie laini zote. Hii device inaitwa Franklin...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Nilikuwa nakamilisha usajili wa visa kwenye paypal nimefika hapa nilichoulizwa nimeshindwa kukielewa, msaada jamani
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam wakuu... nina shida kidogo, Mzee wangu kaniambia simu yake (tecno C5) imegoma kudownload app yoyote toka playsstore, inaishia kumwambia no enough space, hata ku update inamwandikia...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
habari zenu wadau mimi ni kijana mdogo tu nategemea kwenda chuo kiku mwezi ujayo..nimeplan kununua laptop kutokana na kukosa uzoefu nimekuja hapa ili nipate ushauri wenu....ningependa sifa ya...
1 Reactions
14 Replies
4K Views
Nmeona kwa mtu nkiwa kwenye gari yupo online anaangalia azam two,hd na zingine nikawa najiuliza kafanyaje.Ss wakuu msaada wenu
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari zenu ndugu zangu, kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta software ya windows platform ambayo ni rahis na inaweza kuedit na create movies au music videos, nimejaribu kutumia power director...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Nina kadi yangu ya CRDB VISA Nnimkuwa nikiitumia kufanya manunuz ya mtandaon tangu nipewe nilishafanya manunuz Mara 4 tu na zote ilikuwa mwezi wa 5 ,na kabla ya kufanya hiyo mihamala Nina...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kuna Form nimepewa nahitaji kuitengeneza kwenye Micro.Excel msaada hatua zake
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari zenu Simu yangu aina ya Samsung J5 imevujiwa wino kwenye display, natafuta mtaalamu au mahali ambapo wanabadilisha kioo kwa uhakika Kama yupo anisaidie tafadhali...[emoji22] [emoji22]
0 Reactions
7 Replies
842 Views
Ninamiliki simu aina ya Huawei Y530 na pia nimeiroot. Lengo mahususi la kuiroot ilikua ni kupata fursa ya kupdate android yake kutoka 4.3 to Lollipop or any other latest version. Lakini...
1 Reactions
0 Replies
529 Views
Wakuu naomba msaada namna ya Kusign CV Online nimeambiwa nitume signed CV.
0 Reactions
60 Replies
5K Views
Wadau habari zenu, ninashida ya ku download software tajwa hapo juu naombeni msaada wenu kuinunua sina pesa naitaji kuipata lakini
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salam wadau,naomba kujua applications za zenye uwezo wa kutoa sauti nakubaki beat tu kwenye audio kwakutumia simu
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Nitoe pongezi za dhati kabisa kwa Halotel ukilinganisha na mitandao mingine ya kawaida ya huduma za mawasiliano. Binafsi karibuni nimetumia mitandao mitatu Tigo, Airtel na Halotel kwa ajili ya...
5 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom