Ameiba simu ya rafiki yangu jana,kosa alilolifanya, aliingiza line yake akachange WASAP number.Sasa ukiwa kwenye wasap group ukabadili number,wasap wanatuma notifocation kwenye group.Alipigiwa...
Ndungu wana jf habari za wakati nina sm ina matatizo kidogo nilikuwa naomba kuna uwezekano kuiflash kwenye pc yangu mnielekeze niiflash au lazima niende kwa fundi aniflashie msaaada tafadhari
1.Nauliza kama adapter ya laptop ikiharibika inaweza kutengenezeka?
2.Nina adapter haiingizi chaji kwenye betri ila inauwezo wa kupower computer, je tatizo ni nini na ntalifix vipi?
3.Simu...
hivi hizi xposed apk ktk android si huwa na virus.... maana mfumo mzima wa kuroot na kuingiza xposed apk me nauogopa kabisa
na kingine nnachokiogopa ni boot animation
nilifuta neno tecno nikaweka...
Habari zenu wataalam.Simu yangu imeanza ku-misbehave.Kuna message ambayo nilitumiwa ya balance kama wiki mbili hivi zilizopita.Kila nikitumia USSD code zinaingia kama tatu kwa mpigo.Halafu pia I...
Ndugu wana Jf.Naomba ushauri kuhusiana na hii cm kama ni nzuri na inauwezo nzuri katika huu ulimwengu wa smartphone.Mm nipo katika cm mbadala kabla kibano cha mwezi wa sita.Kwa anayeitumia au...
Wadau habari
Naomba msaada wa kujisajili kwenye google adcence ila tatizo nililonalo sihitaji kufungua blog nyingine ya lugha ya kiingereza. Tafadhali kwa mwenye ujuzi naomba anisaidie kwani...
Naona mko poa ndugu zangu wana jf.... mwenye uwezo na hili suala naomba anisaidie jinsi ya kubadili blogspot yangu na kuifupisha iwe na .com pekeake
utundu wangu wote umegonga mwamba katika swala hili
Huwa najiuliza ili kuweza kuwa na free Wi-Fi..... Mfano kwenye vyuo vyetu
au maeneo yetu sehemu mbali mbali nini kinatakiwa kifanyike?
Nchi zingine wamewezaje? Ni lazima serikali ishiriki?
Wadau...
Kwa wale wanoitaji kwa na blog , Tunadesign Blog zilizo katika ubora Na Kwa wale wenye blog Tunauboresha Blog iwe katika hali nzuri katika muonekano na wa ndani na nje..Pia tunauza Web domain kama...
wakuu msaada tafadhali,baada ya hii mitandao kutufanya wateja wake kichwa cha mwendawazimu,hivi hakuna njia inaweza kufanikisha hili suala la Wi-Fi majumbani mwetu au mtaani,gharama zake huwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.